Ndoa inaelekea kunishinda

Ndoa inaelekea kunishinda

michepuko,ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua halafu unaishia kulia mwenyewe
Alafu wamenipenda hutoamini wenyewe tu wameingiwa na huruma na wamemsema Kama nini maana text zao naziona mmoja ndoalimdanganya anapeleka mahari kwao amuoe alikuwa na bwana ake akamuacha kisa huyu baada ya kumpigia naye alihisi kudata maana alisema hadi kwao kuwa kapata mchumba huyu ndompaka alilazwa kwa stress karusiwa juzi hapa ndoanamtishia anaenda kumloga ni mbulu yangu macho walogane tu vurugu ziishe
 
Alafu hutoamini wote walinipa ushirikiano mzuri tena waliumia coz walimpenda na aliwadanganya hajaoa waliishia tu kugombana nae na kumtukana kwa kuwachezea naona wamefikishana pabaya mmoja mkorofi ni mwanajeshi alitaka Hadi kupelekana police naona sahivi kawablock baada ya kuona wanamfanyia fujo mwingine kamtishia kuwa atamfanyia kitu kibaya yani kwa ugomvi walionao sidhani Kama watarudiana maana ni kutukanana mwanzo mwisho
Jamaa kazingua sana, unachepuka then unadanganya upo single? Mwambie mtu ukweli aamue mwenyewe...
 
Alafu hutoamini wote walinipa ushirikiano mzuri tena waliumia coz walimpenda na aliwadanganya hajaoa waliishia tu kugombana nae na kumtukana kwa kuwachezea naona wamefikishana pabaya mmoja mkorofi ni mwanajeshi alitaka Hadi kupelekana police naona sahivi kawablock baada ya kuona wanamfanyia fujo mwingine kamtishia kuwa atamfanyia kitu kibaya yani kwa ugomvi walionao sidhani Kama watarudiana maana ni kutukanana mwanzo mwisho
Nafikiri haya ni maneno yakutoa faraja.

Cha msingi usisahau kujiombea wewe,kumuombe yeye,kuiombea ndoa yenu,kuruhusu Amani na upendo vitawale uwe na roho ya kusamehe na kutokuweka visasi.

Unachokipitia ninakifahamu 💯.

Mtangulize Mungu Kwa kila kitu
 
Simu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiichunguza lazima utoke machozi achana nayo.
 
Simu Mimi ndonilimlazimisha ache nilimwambia kwakuwa ushamwambia una mke na umeomba msamaha tuanze upya simu niachie hakuna tena kumiliki simu ya Siri na nilifanya makusudi ili nijue Kama Kuna wengine Ila sahivi najutia nlichofanya coz naumia hata nikisema nishirikishe wazazi na wachungaji napata wakati mgumu maana najua ni watu wa dini hawatokubali tuachane watafanya juu chini aombe msamaha yaishe mwisho wa siku nitakuwa tu nimejitia aibu kwa kuwaelezea upumbavu wa mme wangu
Pole sana ndugu, maisha ya ndoa yana changamoto sana.Jiatahidi kutuliza akili na kuomba Mungu akupe utulivu kwanza umzae huyo mtoto.Baada ya hapo utapima upepo..kama hauelewki ondoka mapema..na kuanzia sasa acha kabisa kushughulika na simu yake.Acha Bora usijue kuliko kuumia kila wakati.
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.

Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.

Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Labda tuanze hivi.Je kuna jambo jingine ambalo jamaa anakuudhi nalo? vipi unapata attention na matunzo kwa ukamilifu? Vipi wewe mwenyewe uko perfect kwake?

Iko hiv mwanadamu anayo madhaifu yake.hata wewe unayo maudhi kwake. Kwamba aliamua kukiri kosa na kumpigia mzinzi mwenzie kwamba sasa anasitisha rasmi kuzini naye,nadhani ungemshukuru Mungu hata kwa hatua hiyo. kuhusu hiyo list ya hao wengine ungeendelea kumsaidia hivyo hivyo kuipunguza kwa style uliyofanya awali.Otherwise wapo wachache sana wanaoweza kuchukua ujasiri wa kumpigia mzinzi mwenzie mbele mke wake na kumpa notice ya kusitisha rasm uzinzi.

So mimi naona uko kwenye hatua nzuri ya kuimarisha ndoa yako badala ya kuanza kulialia ni bora ungekomaa uimalize hiyo list ya wazinzi
 
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!

Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.

Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Huu ushauri sasa duu..ila sio mbaya mara moja moja nae apoozee kwa pembeni.
Na wadau wakutoa hiyo huduma wamejaa humu kibao tu.
 
Tambua hata wewe kwa huyo mume ni mchepuko ulichowazidi wengine ni kutangulia kugundua anachepuka usishangae akibanwa upande wa pili na wewe ukaambiwa samahani nilikuwa nimeoa kabla sijaoana na wewe
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae
As long as mumeo anakujali na anakupa mahitaji yote ya msingi, vumilia na kazi iendelee!

Hata ukivunja ndoa na ukaolewa na mwanaume mwingine naye atakuwa na michepuko tu mana wanaume tumeumbwa hivyo. Mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja ni masikini asiyekuwa na pesa za kuhudumia wanawake wengi, mwenye afya mgogoro na mwenye upungufu wa nguvu za kiume.
 
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Halafu kwanini anapekuwa pekuwa simu ya mwenzake?? Yaani wanawake huwa wanavitafuta vilio kwa makusudi kabisa. Ukisikia mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake ndio hivi sasa!
 
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!

Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.

Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Umeanza vema ila mwishoni umeharibu kumwambia agonjwe nje. Ovyo kabisa wewe!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom