Inaonekana umeolewa ukiwa bado mtoto..pole, ndoa ndoano. Ushanasa, vumilia maumivu.Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Hahaha!muhimu heshima kwa wenza wenu sio mpk mnakamatwa nasemaga sigusi simu ya mwanaume may be kama nshamchoka au aniruhusu!!!Kiukweli ukipata mwanaume loyal kwako 100% nenda katoe sadaqa...
Ni ngumu sana kuwa faithful hasa kwa dunia hii ambapo kila angle ina vishawishi...tuna tabu sana vidume!
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji4]wanaume wana hulka za majogooMaisha bhana ni kizungumkuti.
Yaani life is crazy. Kwa mfano, washkaji wanapata everything sometimes lakini bado tu unakuta mtu lazima atest mitambo somewhere
Unajua kuna hekma kubwa sana kwenye issue nzima ya mitala[emoji23][emoji23][emoji16][emoji4]wanaume wana hulka za majogoo
Mnooo!Mungu fundi haswaaa!!!Unajua kuna hekma kubwa sana kwenye issue nzima ya mitala
Wengine hapa kwa wiki siku tano. Yaani akikosa basi ni mbili tuMnooo!Mungu fundi haswaaa!!!
Kabisa! dada usijipe matumaini yasio kuwepo eti ameshaachana nae hakuna kitu kama hicho,chukua huu ushauri wala usijipe presha.wataachana endapo mmeo atachoka yeye mwenyewe lakini si kwa sababu wewe umesema.Achana nae,hapo sasa jipende wewe mwenyewe na kiumbe ulichobeba,yeye fanya kama haumji Mpikie ale
Jilinde
Kula
Vaa Vizuri
Pendeza,jipendezeshe
Usimuulize
Usimfuatilie
Fanya mambo yako
Hiyo tabia ya kuchepuka hawezi kiacha,na yule mchepuko wa mwanzo aliyempogia simu mbele yako ni gelesha tu hawajaachana.
Nimecheka kwa sababu mchana kuna uzi fulani umewakebehi wacha Mungu...umesema huwaamini WANAOJIFANYA wacha Mungu ila hapa naona rafiki yangu Relief Mirzska unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kabisaa au anamheshimu mkewee!maana wengine ndo kama hao michepuko mi3 yotee na mkewe anajua na hapo ndo hatajali ataonesha live live sasa hivi
Ndugu sio rahisi hivyo usiombe yakukute ndoa yenyewe miezi 6 bado upo wamoto moto hata hina haijatoka mikononi wee anapitia wakati mgumu sana huyo mwenzetundoa sio ngumu best, unavyoichukulia ndo utapata shida
ndoa ni nzr sana maana mko wawili mnashirikishana maisha na kusaidiana
omba na zungumza na mwenzako mambo yatakaa sawa
Uzuri mlishakubali kuwa kumiliki mgegedo weye peke hilo halipo so wacha na sie tujitaidi kuwadhibiti hawa warembo wa nje walilete sekeseke kwa wifeSi ndo hapo??? Muwaambie ukweli jamani mnatu confuse huku.. af kumliza liza mkeo kisa wanawake wa nje ambao ungeweza kuwa control wala hupati baraka..
Naelewa anapitia wakati mgumu..ila asiaminishe watu kuwa ndoa ni ngumu. Itakuwa ngumu vile umeichukulia.Ndugu sio rahisi hivyo usiombe yakukute ndoa yenyewe miezi 6 bado upo wamoto moto hata hina haijatoka mikononi wee anapitia wakati mgumu sana huyo mwenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app