Ndoa imenizawadia kiharusi

Misamiati:-

Matako,kuoa,soulmate,ajali,vunjika mguu,Do dare,sura,pesa!!

Aiseh sawa hapo kwenye matako na sura hapo!!

KAZI na utu tunasongambele!
 
Mm nimejitafta kidogo c mbaya mtaji nimepambana kuupata mtaa mgumu nawaza kuleta malaya aje tugawane nirudi tena shamba.
kama nikipata watoto watatu wa kununua m na nunua nimetafta mwanamke wa kuoa nimechemsha wengi single mother alafu wanajifanya kondoo.
uingie kumi na nane lakini yule jamaa wa facebook amenitisha sana kwa hiyo naiomba selikali itueleweshe jinsi ya kuwachukua watoto yatima
 
Ndoa ni kitu kizuri ukibahatisha kupata mtu sahihi, Wallah ukikosea basi bora hata kufungwa jera miaka 5 kuliko migogoro ya ndoa.
Kama umejitenga na hilo tatizo kwanza shukuru Mungu, sasa usimsaliti Mungu kuanza kwenda kuombana msamaha utakufa kabisa.
Ndoa inaweza kukufanya ukageuka tapeli, mwizi, muongo kisa unampigania mtu ambaye akitoka nje hajui hata tone la thamani ya jinsi unavyojitoa.
Sasa hivi kauli yako iwe moja tu, mtu akija kwako mwambie tu neno moja, unataka baki hutaki ondoka na usijaribu kumhubiria mtu mzima, hizo tabia mbaya unazotaka azibadilishe ilitosha kwa wazazi wake kuzibadili au Mungu wake, Sasa wewe jipe jukum la Mungu na wazazi wake uone utakavyopotea.
 
Hapa Liverpool VPN kapiga hattrick na assist zote ametoa dronedrake matokeo hayo yanaifanya team kataa ndoa kubeba point nyingine 3 na kuwa kwenye hali ya kutoshikika kabisa
 
Mwanamke anakusumbua,kukufanyia vituko,kukutesa pale anahisi huna option nyingine kwenye maisha!

Baada ya kusumbuka nifanye Nini Kwa muda mrefu sana!hasa matukio fulani ya hovyo yenye kuaibisha niliyofanyiwa 2023/2025!!!nilipata kasafari ka ghafula sana kwenda nyumbani na kumueleza Mzee kwa kina!!

Akaniuliza unaogopa nini mwanangu!!?kwani si nilikuzaa ukiwa uchi maskini na huna chochote na siku mungu akikuita SI atakuita huna kitu!!?kwani uhangaike sana kiasi hiki!!?unabembeleza Nini!?Mali ulizochuma nae!?watoto!!?kwani Mungu akiamua kuvichukua vyote utazuia mwanangu!!?

Nilikosa majibu,akasema "Oa tena mke mwingine ,haijalishi wewe ni mkristo,mlokole au muislam oa tena na akikusumbua na huyo oa tena just oa tena kuliko kufanya uzinzi was reja reja we oa tu,mwisho uatapata yule utakae Trulia nae!!

"Hukuumbwa kuvumilia mwanamke,hujui kwao karithishwa nini,inawezekana karithishwa kutokua na huruma Wala kujali ulipomtoa na mlipo fika,just Oa tena!!

Nikaoa tena bila kujali hatua atakazochukua huyu niliekua nae,vyovyote atakavyoamua aamue,akiamua kuolewa aolewe,akiamua kuhama shame,akiamua kuwaambia watoto hawana baba ,Mungu anamjua baba yao!I dont care!!

Sisi wanaume ifikie hatua tujipende ,tuache kujitoa sana mhanga kwa wanawake kisa watoto wewe sio Mungu Hadi uapnge hatma ya watoto wako watakavyokua hapo baadae!timiza wajibu TU,usijitoe mhanga kabisa!hakikisha wanakula,kulala wanavaa plus wanaenda shule kusoma,hatma anaijua mungu tu!!

Chukua hiyo comrade!!
 
Mwanaume anapendeza akiwa muhuni hata kama ni kidogo tu. Sasa mwanaume awe amepooza tu, hana udikteta hata kidogo, hana circle ya wanawake wa kumpa wasiwasi kidogo wife. Hiyo ndoa si itakua bored.
Ukipata muhuni mwenzako itapendeza pia.
 
mdhaifu huyo mkuu anamkimbiaje mwanamke badala ya mwanamke ndio akimbie aloo
 
Asante sana mleta mada, hii mada imeniponya sana, niko kwenye stress za ndoa ila baada ya kusoma mada na comments zote nimepata ahueni sana.
😂😂🤣🤣🤣🤣 nyie ao wanawake mnatafutiwaa au??
 
safi mkuu mwanamke akimbiwi akileta vituko usihangaike piga matukio akili itamkaa
 
Haya ni maelezo ya upande mmoja, vipi kama hapa Mwanaume ndio changamoto?
 
Nice guys wenyewe ndio hawa wakina mtoa post. Mwisho wa wema wao ni majuto tu. Nyie wanawake wa kiafrika ili kwdnda nanyi sambamba lazima mwanaume awe dikteta mixer muhuni kidogo. Mwanaume mwema huwa mnamuona fala
Sio kweli ni mtazamo wako tu
 
Asante sana mleta mada, hii mada imeniponya sana, niko kwenye stress za ndoa ila baada ya kusoma mada na comments zote nimepata ahueni sana.
Mungu akulinde hakika usipate stroke kama iliyonipiga
 
Ulivyooa mwanamke mwingine, mke wa kwanza alifanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…