Ubaya ni kwamba wanawake kama wewe walishapotea katika ramani ya dunia. We umebakia kama lulu tu. Katika wanawake 1000 understanding women hawazidi 10! Na hiki ndio kinafelisha wengi, mwanamke akiwa understanding nyumba inakuwa kama heaven. Hio character ndio inamdefine mwanamke mwenye hekima. Hutasikia anapayuka wala kurap ndani ya nyumba.Sijui unapozungumzia makelele unazungumzia nini, naamini kila ndoa ina changamoto lakini pia kuna namna ya kutatua changamoto kwa upendo na hekima padipo kumfanya mwenzi wako ajisikie kudharaulika au ajute kwa namna moja au nyingine
Wanaume wengi si wepesi kujishusha hata wanapokosea, changamoto inakuja pale mwanamke anaposhout au kutumia lugha ya dharau/ubabe anapoona mwezie amekosea au hata anapohitaji kitu kutoka kwa mwenzi badala ya kutumi kuuliza kwa unyeyekevu
Trust me, mwanaume ni mwepesi sana kwa mwanamke, ila kama tu ukijua lugha ya kuzungumza nae, vilevile kwa mwanamke, kuna lugha ambazo pia wanaume mnapaswa kuzitumia kwa wake zenu especially pale unapokua umefanya jambo ambalo unajua limemuudhi au kumkwaza kwa namna moja au nyingine,
Watu mnaolala kitanda kimoja na kishare miili yenu hampaswi kupigizana kelele bali mnapaswa kuelewana
Bado wapo, sema tu hampendi kutulia kuwatafuta, mkishaona hizo pics za kuedit kwenye maistagram basi unazoa unaweka ndaniUbaya ni kwamba wanawake kama wewe walishapotea katika ramani ya dunia. We umebakia kama lulu tu. Katika wanawake 1000 understanding women hawazidi 10! Na hiki ndio kinafelisha wengi, mwanamke akiwa understanding nyumba inakuwa kama heaven.
Kwa sasa ndio wanawake waliojaa mtaani pia. Labda wa hivyo utampata mkoani. Ila kwa mjini hapa ni uozo tuBado wapo, sema tu hampendi kutulia kuwatafuta, mkishaona hizo pics za kuedit kwenye maistagram basi unazoa unaweka ndani
Hahahah hivi hao watu wapo kweli?Wanakuwa hawatoi za matumizi nyumbani, unakuta nyumbani wanakula vichwa vya dagaa huku mzee bar akiagiza kuku
1.Mjegejo hafifuChanzo cha makelele ndani huwa ni nini haswa,kwa upande wa mwanamke?
Wapo mkuu,wabinafsi yeye anakula vizuri home hakuna uboraHahahah hivi hao watu wapo kweli?
Huyo sio baba ni sperm donor.Wapo mkuu,wabinafsi yeye anakula vizuri home hakuna ubora
Tupe hizo mbinu mzeeNdoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoa
Kuna mbinu nyingi sana za kuifanya ndo iendelee kuwa changa
Tatizo vijana wa siku hizi ukishatoka honeymoon tayari unatafuta kamchepuka, halafu unaanza kuona kama ndoa yako imezeeka
Kwenye ndoa kila siku ni honeymoon na kila siku mwenzio ni mpya...
hii ni applicable kwa sisi wenye miaka 50 kwenda juu, vijana wa siku hizi hawawezi
πππππTafuta x, ndio umri wangu mkuu
y=3x[SUP]3[/SUP] + 5
5x=4y[SUP]2[/SUP]- 3
Naona anaonyesha ufundiKama hivi
View attachment 1546273
Naona anaonyesha ufundi
Ukiwa naye ndani sijui inakuwaje...Daaa huu mzigo mzee ni hatari
Sipati picha hatari yake.Ukiwa naye ndani sijui inakuwaje...
ha ha ha haOa kwanza. Hizi hadithi utazisimulia vizuri.
Sanaaaaaa...Acha tuu mkuu
Nimegundua mwanaume huwezi enjoy kama huna mwanamke wako unae mtawala vyemaa rahaaa sanaa
..πππ..Ni kweli mkuu halafu kwenye account kuwe na comma za kutosha ,nje umepaki mikoko kama mitatu hivi halafu abdallah kichwa wazi awe na nguvu za kutosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana, mkiamua kukaa kama kumbikumbi wasio na mabawa ni nyie wenyewe tu
mbinu gani za kuifanya ndoa iwe changa?Ndoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoa
Kuna mbinu nyingi sana za kuifanya ndo iendelee kuwa changa
Tatizo vijana wa siku hizi ukishatoka honeymoon tayari unatafuta kamchepuka, halafu unaanza kuona kama ndoa yako imezeeka
Kwenye ndoa kila siku ni honeymoon na kila siku mwenzio ni mpya...
hii ni applicable kwa sisi wenye miaka 50 kwenda juu, vijana wa siku hizi hawawezi