MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
si asepe? au hana hela?
kwan pesa ndio zinambakiza mtu kwa mwanaume? licha ya mabaya anayotendewa?
si asepe? au hana hela?
Ndioooooo mwalimu!!
Heee mi sijajua kama nimesema uwongo
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done
Hapo ujue mwanamke anavumilia tu kwa sababu akitema sumu atakuwa hana pa kushikilia,
Mwambie awe anaenda pembeni pale anapoona mumewe anongea na mke mwenzie, simple!
ajifanye tu haoni kama bado anaitaka hiyo ndoa....
wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu
Mumewe DAKTARI anampa HELA,SIFA ANAPATA MKE WA DAKTARI,MATIBABU BURE.Mbona Hayo Mambo Mengine Ni Ya KUVUMILIA TU...!!!
hilo nalo neno maana wadada wa sasa wanvopenda kuolewa,hata ukimuambia ukweli kuhusu jamaa yaani hawaelewagi as long as jamaa katangaza ndoa baaaasi.....akifika huko ndio sasa utumwa wa hiyari unapoanzia cc The Boss.na inawezekana alishauliwa kabla akaona watu wana waivu.
kwan pesa ndio zinambakiza mtu kwa mwanaume? licha ya mabaya anayotendewa?