Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Mwenzangu nimeona ulichangamkia dogodogo
Umeanza lini kusema uongo?
Mwenzangu nimeona ulichangamkia dogodogo
wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done
Namjua yule mama yeye mwenyewe yake mengi yalimshindahaswaa mkuu ,,,, unakumbuka enzi za mama Terry (km sijakosea jina) redioni?
Amwendee kwa kalumanzira mbona atatulia tu
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done
Some people learn through mistakes. Inawezekana akajua alikosea wapi afu akashauri ili usipite alipo yeye. Anyways, kuwa kimeo raha sana, unakuwa hauna stress unajua?
Nakuja kwenye mada sasa. Je kipindi hajaolewa alikuwa na tabia ya kujua mwendendo wa mume wake? Je alikuwa akipenda kujishirikisha kimawazo na shughul za mumewe? Kama no kamwe hatoweza kumbadilisha jamaa coz ndo life yake hiyo labda kama alibadilika ndo ataweza kujirudi tena. Kama yeye alikuwa anaburutwa kozi ya hela za jamaa lazima awe mvumilivu na aendelee kuburutwa coz is the life she choose from the beginning.wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu
Some truth...
Amwendee kwa kalumanzira mbona atatulia tu
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done
Some people learn through mistakes. Inawezekana akajua alikosea wapi afu akashauri ili usipite alipo yeye. Anyways, kuwa kimeo raha sana, unakuwa hauna stress unajua?
Namjua yule mama yeye mwenyewe yake mengi yalimshinda