Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaa, mi yangu macho mdogo wangu......ndoa ndoani! dada mkubwa Fixed Point ulipita hapa?
ha haaaa, mi yangu macho mdogo wangu......ndoa ndoani! dada mkubwa Fixed Point ulipita hapa?
Without doubt wamesikia ombi lako, tutatekeleza.....
Wapo wanaokesha makanisani wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwanini waliolewa basi tabu tupo
back to point.
Kuna binamu yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kazi anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct.
Jamaa anaishi kiubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafiri akiuliza unaenda wapi we jua nasafiri.
Kipato cha mme hakijui wala matumizi anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 usiku hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba?
Inshort hana amani kabisaa, jamaa ana jeuri vibaya mno anaweza akarudi saa 6 usiku akimuuliza anamjibu mi sio mtoto.
Ndoa hizi zisikieni tu.
miss u maa! uje kwangu kulala wallahi! nina mengi moyoni mgongoni na moyoni kwa madiskasheni! twins nao wamemiss mgongo, khaaaaa!
mie niko poa kbs wangu. Mume kashika vyote sipumui khaaa!!!Without doubt wamesikia ombi lako, tutatekeleza.....
Mimi mzima mamito, sijui wewe. Upo kimya sana, ndo huyo mume kakubana sana?
hahhhhahhahaha!!!!!!!!!!!!!!!sony wat?
we uko juu mwal unajua simu nying hivooo?
by ze wei uko poa?
miss u maa! uje kwangu kulala wallahi! nina mengi moyoni mgongoni na moyoni kwa madiskasheni! twins nao wamemiss mgongo, khaaaaa!
mwanaume wa ivo aiseeh mie hapana!!,narudi kwetu sikufukuzwa
huo ni upande mmoja wa shilingi.umeshajiuliza huyo binamu yake anamhudumia vipi mumewe??!! maana baadhi ya wakinadada wa siku hizi ni hedeki tupu wala hawafai kuitwa wake. yeye anachojua ni kuvaa ngozi ya kondoo kabla ya ndoa ila akishaolewa utayaona makucha yake ndugu. jiulize kwa nini huyo dr hakumuoa mama motto wake wa mwanzo na akaolewa binamu yako halafu sasa hivi dr anakuwa karibu sana na mama motto wa zamani??!! something is wrong somewhere na huenda dr anajutia uamuzi wake wa kumuacha mama mtoto wa zamani na kumuoa binamu yako. usipende kulaumu upande 1 bila kujua ukweli halisi