This is what I'm saying! Unawasaidia watu ambao baadaye wakifanikiwa wanakutupa hata watoto wako hawawakumbuki.duuu pole sana ndugu.yan najitahid kuimajin ingekuwa mimi ningefanyaje.mi nimeisha maisha ya hivyo baba ndugu kibao mpaka watoto tunasaulika hata kula chakula kizur ilishindikana ni kula ugali maharage kama shule za boarding.na mwisho baada ya kufanikiwa hakuna aliyetukumbuka zaid ya kutuangamiza.tenda mema uende zako usingoje shukran.kama walivyo shauri wenzangu mama mazao yanauzika siku hizi .fanya mambo yako wewe kama Weka akida yako na mfungulie mtoto account muwekee akiba.vaa tinted asikuumize kichwa fanya yako.
Hajabweteka anajishulisha na kilimo biasharaVumilia tu jaman ndoa ni kuvumiliana kama uliweza kuvulimilia hiyo miaka saba ila itabidi utafute ajira au biashara yeyote ya kukuingizia kipato ili uwe independent na sio kutegemea mshahara wa mumeo
umeona mkuu hapa kuna shinikizo, sio AKILI za kawaida hiziNa ukute jamaa amesomeshwa kwa pesa ya michango ya hao wanandugu sasa wanataka fadhila, inamuwia ngumu kukataa.
Huu ni mtihani tena mkubwa katika maisha ya ndoa na ndiyo maana wengine hawataki kuoa/kuolewa. Usichoke kumpa shule mmeo iko siku atakubaliana nawe. Naamini kwa kila tatizo kuna ufumbuzi wake.Yaani kama ulikuwepo vile, coz kuna wengine wakubwa nawazidi labda miaka mitatu hv; basi wanataka nao wajipangie utaratibu wao; mwingine anataka anywe chai lita nzima pekeake, mwingine msosi anataka arudie full plate hata mara tatu, nikisema niwapeleke shamba wanapiga simu kwa Mr ati wanaumwa wanataka kurudi, nabaki napiga kazi mwenyewe, basii duuuh, stress za kila rangi!
Hapana, moto hauzimwi kwa moto, asifanye hivyo!Fanya hivi,
1. Acha kulima kwa msimu mmoja tu
2. Na wewe tafutiza ndugu zako hata wa mbaali kama watano hivi walete hapo home mkae now kwa mwaka mmoja tu.
Then tarehe 23/11/2017 njoo hapa tuletee mrejesho. sawa mama. Pole mama.
Kuna wakati inabidi kufanya maamuzi magumu.
Na huo ndio wakati wenyewe. ..tabia ya mumeo ni kujifanya ana uwezo.
Na hii inatokana na juhudi zako za kuleta chakula ndio maana ana jeuri.
Hapo nyumba ikiwa na njaa wote hao wataaga mmoja mmoja wawaache peke yenu.
Kama kweli unataka wasiendelee kujazana Hapo jibu lipo wazi ACHA KULIMA
Spirit of generosity I suppose....Maombi Dada yangu ni Silaha kwani Mumeo hajitambui wala sio yeye kuna spirit inafanya hivyo
Ni kweli usemayo, yeye hata akiwa hana hata kumi hataki ndgu zake wajue kama hana kitu yu radhi akakope!Kuna wakati inabidi kufanya maamuzi magumu.
Na huo ndio wakati wenyewe. ..tabia ya mumeo ni kujifanya ana uwezo.
Na hii inatokana na juhudi zako za kuleta chakula ndio maana ana jeuri.
Hapo nyumba ikiwa na njaa wote hao wataaga mmoja mmoja wawaache peke yenu.
Kama kweli unataka wasiendelee kujazana Hapo jibu lipo wazi ACHA KULIMA
Amina! Ubarikiwe sanaPole sana dada kwa hayo yalokukuta, shida kubwa hapo ni kutokujitambua na kupenda sifa. Hakuna kusaidia kwa namna hiyo bali ni kupumbaza watu, kuwadekeza huku akiiumiza familiya.
Kusaidia siyo kubaya ila saidia mtu kwa kumtegemeza mwenyewe yaani kama kumpatia mtaji afanye biashara itakayomsaidia yeye na familia yake, kumtafutia shamba alime asaidie familia yake, amtafutie kazi itakayomuingizia kipato cha kuendesha familia yake. Huku ndiko kusaidia kunakopungiza tegemezi, yeye naona anaongeza tegemezi badala ya kupunguza, mwisho wa siku atawafanya watu washindwe kuendesha maisha yao wenyewe kwa kulemaa na misaada.
Hata maandiko matakatifu hupinga sana uvivu, asiyefanya kazi na asile, watu wafanye kazi kadri iwezekanavyo ili nao wasaidie watu wengine siyo wao tuu ndo wameumbiwa kusaidiwa.
Cha kufanya: zungumza na mwenzi wako kwa upole na upendo mkubwa ukimwelimisha ubaya wa anachokifanya kwa sasa na baadae kisha toa mtazamo wako wa namna nzuri ya kusaidia ndugu na jamaa huku familia yenu ikibakia kuwa na furaha na amani.
Mungu akutie nguvu na kuwapatia hekima na maarifa ya kumaliza jambo hili.kwa uzuri.
Huyo kiboko!Ni kweli usemayo, yeye hata akiwa hana hata kumi hataki ndgu zake wajue kama hana kitu yu radhi akakope!
Ahsante kwa mchango wako!!Mimi ni miongoni mwa vijana waliosomeshwa na baba Mdogo kuanzia sekondari hadi chuo kikuu na ndani alikuwa na watoto wa ndugu zake 13+ na mama mkewake alikuwa na watoto 2 tu. Sasa mateso ilikuwa kulima na hadi ziliota sugu mikononi na kwa kuwa nilihitaji kusoma nilikomaa sana na nilikuwa nikitoka shule jioni shambani.
My point is that; kama wangekuwa wanajielewa na kukusaidia shughuri za shamba na mambo mengine basi mambo yangeenda safi ila kwa hali hiyo naamini mnakaribisha umaskini huko mbeleni.
Jaribu kukaa nae ili nae akae na hao ndugu zake ili wafike shambani na kuongeza uzalishaji bila kufanya hivyo umaskini upo njiani.
Ikumbukwe kuwa katika nchi maskini duniani 70% ni zile ambazo zimekumbatia extended family. Sikatai kulea ndugu ila kama wazazi wao wapo basi wakae kwa wazazi wao na msaada wa kusomeshwa uwafuate huko mn kama hawana msaada wa kiuchumi basi inakera na soon as possible naiona ndoa yenu itagubigwa na wingu la ugomvi.
DAWA YAKE RAHISI SANA NITAFUTEWandugu Salaam,
Mimi nipo kwenye ndoa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoja, tunaishi Nyanda za juu kusini. Tuliishi kwa amani miaka mitatu tu, tukiwa mimi na mume wangu na mtoto. Baada ya hapo imekua tabu, mimi kwetu kuna ahueni ya kiuchumi, yaani sitegemewi na wazazi wangu labda mimi ndio niombe msaada kwako. Lakini kwa upande wa mume wangu imekua tatizo yeye ndio anaetegemewa, yaani ndio star kwao.
Sasa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndio wategemezi wanazidi, watoto wa ndugu zake wa kuwasomesha ndio wanazidi, applicants wa misaada kutoka kwao ndio wanazidi wanaomba hata ambavyo wangeweza kujisaidia wenyewe kwa jinsi anavyowaendekeza.
Anafanya bidii kuwatafuta watoto wa ndugu zake hata waliotelekezwa na wazazi wao tena wakingali hai anawajaza home. Yote hayo ninayavumilia na ninapambana nayo. Mimi sijabahatika kupata ajira tangu nimehitimu masomo yangu, yeye ndio ana ajira. Lakini mimi sijabweteka najishughulisha na kilimo na hata chakula tunachokula (mpunga na mahindi) nalima mwenyewe.
Sasa kila nikijaribu kumuelimisha kwamba sichukii kuwasaidia ndugu zake na hata kuwasomesha watoto wa ndugu zake bali kuwepo na namna ya kuwasaidia wakiwa makwao na si kuwajaza hapa home inaleta stress maisha yanazidi kuwa magumu mwenzangu hataki tena ananichefua kwa kunijibu ati kwani kuna shida gani mbona chakula kipo ndani, yaani hakuna shida ya chakula kabisa.
Hakika majibu haya yananivunja moyo kuendelea na kilimo, nawaza labda niache kabisa kulima ili nione kama ataweza kununua chakula cha kulisha familia kubwa namna hii. Kubwa zaidi sasa na linalonichanganya hasa na ninaomba ushauri wenu ndugu wana MMU; Ni kwamba kama vile hawa waliopo hapa home na tunaowasomesha huko makwao hawatoshi, sasa amemtafuta binti wa marehemu kaka yake ambae ana umri wa miaka 24 na ana watoto wawili, anataka amtoe huko anakoishi (anaishi mikoa ya Mashariki, anajishughulisha na kuuza bar, kwa mujibu wa maelezo ya baba mtu) aje tuishi nae hapa home.
Nimemuuliza sababu ya kumchukua binti mkubwa kama huyo tena aliyezoea maisha ya bar; kanijibu anatanga tanga kwa sababu baba yake alikufa, ngoja aje tukae nae tuwasomeshe na hao watoto wake (binti kasema watoto wote hawana baba); hivi ninapoleta uzi huu baba mtu kishaanza mchakato wa kutafuta shule kwa ajili ya mtoto (mjukuu) mkubwa ambae ana miaka sita. Anamtafutia private school aanza chekechea mwakani.
Kazi anayofanya ni ya kipato cha kawaida kiasi kwamba misaada imezidi uwezo (wanadrain) mara nyingi tunabaki hatuna hata senti tano! Hata ninapofurukuta kwa kufanya biashara ndogondogo mbali na kilimo najikuta mtaji unakata, nabaki kuzubaa tu.
Sasa jamani mwenzenu kama binadamu, tena kijana mwenye ndoto za maisha ya mbeleni nashindwa la kufanya, naishiwa hamu ya hii ndoa yangu, natamani nitoke nikapange na mwanangu nipambane kivyangu lakini tena roho inanisuta! NIPO NJIA PANDA, nifanyeje jamani na tabia ya mwanaume huyu! Na hasa huyu binti na watoto wake, natamani nipate namna nyingine ya kumsaidia lakini asije hapa home coz tayari tupo kumi hadi sasa, na hiki ni kipindi cha likizo huwa tunafika mpaka kumi na tano na haya ni maisha ya mjini (u can imagine)!
Msaada jamani!
Nawaomba wale wanaolete mizaha wapite kimya coz nahisi wataniongezea stress.
Haa haa nshawajua hao...mle mle tuuHapana sio nshomile, ni jirani zao tena ni watani zao
Wandugu Salaam,
Mwambie mumeo abadilike , familia yenu ni yeye, wewe na wanao, waliobaki ni vizuri kuwasaidia wakiwa makwao
Asiwe na mapenzi ya mshumaa , ambao unatumulikia huku wenyewe ukiteketea .
Nilifanya hivyo sana kwa ndugu zetu , lakini nilikuja kujuta mno na sasa nimejifunza
Mimi nipo kwenye ndoa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoja, tunaishi Nyanda za juu kusini. Tuliishi kwa amani miaka mitatu tu, tukiwa mimi na mume wangu na mtoto. Baada ya hapo imekua tabu, mimi kwetu kuna ahueni ya kiuchumi, yaani sitegemewi na wazazi wangu labda mimi ndio niombe msaada kwako. Lakini kwa upande wa mume wangu imekua tatizo yeye ndio anaetegemewa, yaani ndio star kwao.
Sasa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndio wategemezi wanazidi, watoto wa ndugu zake wa kuwasomesha ndio wanazidi, applicants wa misaada kutoka kwao ndio wanazidi wanaomba hata ambavyo wangeweza kujisaidia wenyewe kwa jinsi anavyowaendekeza.
Anafanya bidii kuwatafuta watoto wa ndugu zake hata waliotelekezwa na wazazi wao tena wakingali hai anawajaza home. Yote hayo ninayavumilia na ninapambana nayo. Mimi sijabahatika kupata ajira tangu nimehitimu masomo yangu, yeye ndio ana ajira. Lakini mimi sijabweteka najishughulisha na kilimo na hata chakula tunachokula (mpunga na mahindi) nalima mwenyewe.
Sasa kila nikijaribu kumuelimisha kwamba sichukii kuwasaidia ndugu zake na hata kuwasomesha watoto wa ndugu zake bali kuwepo na namna ya kuwasaidia wakiwa makwao na si kuwajaza hapa home inaleta stress maisha yanazidi kuwa magumu mwenzangu hataki tena ananichefua kwa kunijibu ati kwani kuna shida gani mbona chakula kipo ndani, yaani hakuna shida ya chakula kabisa.
Hakika majibu haya yananivunja moyo kuendelea na kilimo, nawaza labda niache kabisa kulima ili nione kama ataweza kununua chakula cha kulisha familia kubwa namna hii. Kubwa zaidi sasa na linalonichanganya hasa na ninaomba ushauri wenu ndugu wana MMU; Ni kwamba kama vile hawa waliopo hapa home na tunaowasomesha huko makwao hawatoshi, sasa amemtafuta binti wa marehemu kaka yake ambae ana umri wa miaka 24 na ana watoto wawili, anataka amtoe huko anakoishi (anaishi mikoa ya Mashariki, anajishughulisha na kuuza bar, kwa mujibu wa maelezo ya baba mtu) aje tuishi nae hapa home.
Nimemuuliza sababu ya kumchukua binti mkubwa kama huyo tena aliyezoea maisha ya bar; kanijibu anatanga tanga kwa sababu baba yake alikufa, ngoja aje tukae nae tuwasomeshe na hao watoto wake (binti kasema watoto wote hawana baba); hivi ninapoleta uzi huu baba mtu kishaanza mchakato wa kutafuta shule kwa ajili ya mtoto (mjukuu) mkubwa ambae ana miaka sita. Anamtafutia private school aanza chekechea mwakani.
Kazi anayofanya ni ya kipato cha kawaida kiasi kwamba misaada imezidi uwezo (wanadrain) mara nyingi tunabaki hatuna hata senti tano! Hata ninapofurukuta kwa kufanya biashara ndogondogo mbali na kilimo najikuta mtaji unakata, nabaki kuzubaa tu.
Sasa jamani mwenzenu kama binadamu, tena kijana mwenye ndoto za maisha ya mbeleni nashindwa la kufanya, naishiwa hamu ya hii ndoa yangu, natamani nitoke nikapange na mwanangu nipambane kivyangu lakini tena roho inanisuta! NIPO NJIA PANDA, nifanyeje jamani na tabia ya mwanaume huyu! Na hasa huyu binti na watoto wake, natamani nipate namna nyingine ya kumsaidia lakini asije hapa home coz tayari tupo kumi hadi sasa, na hiki ni kipindi cha likizo huwa tunafika mpaka kumi na tano na haya ni maisha ya mjini (u can imagine)!
Msaada jamani!
Nawaomba wale wanaolete mizaha wapite kimya coz nahisi wataniongezea stress.
You seriously need a sexual healing