Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,343
Hiki ndio kikubwa Kaka sababu waeza kuwa upande wa Mama ukajikuta unafanya maamuzi ambayo unaweza jutia hapo baadae.Kabisa si mazuri, ni kumuomba Mungu akuepushe nayo
Pia waeza kuwa upande wa Mke ukajikuta unatengeneza uhasama ndani ya familia hasa ndugu wa karibu ambao hawatafurahishwa na maamuzi yako ya kuona Mama yako ana makosa.