Ndo muda huo umetoka kazini

Ndo muda huo umetoka kazini

Mngeuliza kwanza kwa nini anampiga mama mkwe wake..pengine mama mkwe naye ana kero zake...maana kuna wengine yahitaji hekima, busara na uvumilivu kuishi nao. Sasa kama mtu una hasira zako na uvumilivu umekushinda ndiyo mnaanza kushikana magauni





N.B siwezi mpiga mama/mzazi yeyote awe mama yangu au mama mkwe.
 
Hapa jukwaani kila mtu atajifanya mwamba ila kuna watu kibao hapa wanachapwa vibao safi kabisa vyumbani mwao na wakitoka nje wanajikausha na maisha yanasonga mbele kiroho safi.
 
Nyie mkipenda mnapenda, ukichanganyiwa na limbwata basi ndiyo mnakuwa mazezeta kabisa.
Mie siko hivyo shem..Ndo mana hizi habari za limbwata uwa naona kama story tu.. kwa sababu siwezi kupelekeshwa na mwanamke kwa namna yeyote ile kwenye mahusiano..Labda dunia iumbwe tena
 
Kuumbe! Japo nawaza Mkuu, mwanamke wa hivyo hata Mume wake hashindwi mzaba kibao siku akimuudhi.
Uko sahihi mkuu..Ndo mana nikasema hivi vitu haviji kwa sapraizi..Mpaka unaona mwanamke anafikia hatua hiyo jua kuna upuuzi upuuzi mwingi kashafanya na mwanaume akawa anachukulia poa..
 
Back
Top Bottom