Ndo mara yangu ya kwanza...!

Mara nyingi huwa napenda sana kusafiri na njuka....huwa inanikumbusha safari yangu ya kwanza...!!

Ila safari za kwa Obama zinakera sana!
 
Nimependa unavyosimulia aisee, safiri salama mamii
 
Hongera zako bibie...
Mi mwenzio safari zangu ni za Gmboto -mnazi mmoja...Nikipata zali labda nimealikwa Tegeta Kibaoni kwa mtu fudenge humu..!! Kila la heri bidada..!!

Hahaha, Tegeta kibaoni ndo transit yangu ya bodaboda kumalizia safari home...
 
Wenzako wapo mikocheni B wakipokea na kudaka miguu ya kwenda Ulaya. We ulikua wapi best?
Hahahaaa... Kwa wale watakao elewa tu lakini.

nimelaik nikaona haitoshi. Yaani hapa nacheka mpaka machozi. Huwa nabaki mdomo wazi pale napoona watu wazima wakidaka safari toka kwa askofu "pokea safari ya china, pokea safari ya amerikani" halafu watu wazima wanaruka kwa furaha, wanadaka huku wengine hata wakiwa hawana paspoti. Kali kuliko zote ni pale wanapopokea gari, hihihihihihiiiiii,,,pokea funguo funguo za gari lako, ameeeeeeeen! Wanadaka funguo za kufikirika halafu wanaambiwa wawashe gari. Hapo hata kama huna bandama lazma ucheke. Watu wazima wanawasha gari, mkono mmoja umeshika usukani, mwingine unawasha. Wanasema, "chonyonyonyooo" halafu wanaitikia njii njii njii njiiiiii. katikati ya kicheko unashtuka kuwa hili ni janga, unaingiwa na huzuni unahamia chaneli nyingine.
 

Hahahahaha imebidi nicheke kwakweli.Una vituko sana. Tangu HY hadi huku, I hope ipo siku nitakuona.


Just like the old days
 

hahahahahhhhhaaaaaaaaa!!!!! dah! umenchekesha sana.
 
Hahahahahaha daaa jf raha tupu!
 

u r very right thumb up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…