Ndo mara yangu ya kwanza...!


Nilikuwa sikuchekeshi kwa kweli... ila nawaza tu jinsi marekani itakavyokuwa.
 

wasap man, hw r u doing!! hizo ndo salamu za kitaa na clubs. Kuna metro buses as public transport very organized and good hauko hasled kama daladala za bongo. Worry not hoep u'll enjoy just come bana u seem to be funny kama utakuwa unaweza kubundi na kupopo i'll be ur fun. Poa badae naenda zangu jogging
 
Nilikuwa sikuchekeshi kwa kweli... ila nawaza tu jinsi marekani itakavyokuwa.

Dont think much, just relax and jump to Obama's states and have fun more than u r
 
huku ni thursday jioni, ndo natoka sasa nilienda kuvaa poa badae

Poa poa... ila wamarekani wajanja sana. Waliweka tarehe zao nyuma ili siku ya mwisho wa dunia wawe wa mwisho kufa. Sisi huku ni ijumaa tayari nimemaliza kuangalia mechi hapa natafatuta usingizi. Kuna mbu wananisumbua kwenye neti sijui wameingilia wapi... damn.

Badae
 
Tuko, unawaza bar tu eeh. Weeh baki home, supu za mkia utazimisi bwana. Hahaha

Yani mi nikiwaza sehemu ambayo sitapata supu ya utumbo naishiwa amani kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Chezeiya kukaa bar unakula supu ya utumbo special na ndizi moja kama starter? Acha bwana, maisha yako huku muulize le mutuz lol
Yani mi nikiwaza sehemu ambayo sitapata supu ya utumbo naishiwa amani kabisa...



hehehe chumba kimoja hichi beseni ntaficha wapi? Afu mama madenge akija kuomba chumvi ya uji alfajiri akasikia harufu ntahama kijiji bure! Ngoja nisali kabisa
he he, mwenzio nna beseni ndani kwa tahadhari.

Italiwa leyo.



weeh cheka tu. Utamisi mishkaki na mihogo hadi ukome. Si nimekuambia dont text while you jog?
hahahahahhaaaaa mbavu zanguu mie mweeeh
 
Salam kwa shilole mwenzie alitembea na taulo supermarket akatangaza kuimba na Jlo sasa sijui wewe utasemaje umeitwa na Oprah
 

hahahahhaaaa Tukooooo leo umeamua kunifurahisha looh, am back from jogging nimeshaoga na nimekula light dinner nasubiria mida isonge songe nikajirushe club.
So thats American, wajanja kumbee sikuwa najua hili thanks for informing looh ila pia kumbe ni waoga wa siku ya mwisho looh
sasa mbu wameingia kwenye neti kwani imetoboka? mwamshe mkeo awaue wewe ulale, au upulize dawa ya mbu
 

Nilisinzia kidogo qoute yako ilipoingia sim imevibrate nikaamka. Hii net haikatoboka. Unajua tena hizi net za plastik za msaada, ngumu kama nini. Nahisi walinivizia wakati najichomeka nao wakaingia fasta. Kukikucha nitadili na nao, hatoki hata mmoja.
Ila umepazoea mapema sana US aisee. Umefika juzi tu ushakuwa mjanja wa kwenda club!
 

kazi ya kuua mbu muachie mkeo bana we ukiamka unajiandaa kwenda job, niko na mwenyeji huku ndo ananipeleka viwanja baada ya mwezi hope ntaanza kutoka mwenyewe, mie sio mjanja ila niko keen!! club nilianzia bongo kula ujana hapa naendeleza tuu kula life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…