Ndo ahadi zao

Ndo ahadi zao

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
uploadfromtaptalk1445494436233.jpg
 
♈♉♊♋♌♍⛎♓♒♑♐♏♎🔝🔙🔛🔜🔚♈♉♊♎♏♐♋♒♑♌♓⛎♍♓♌♒♐♊♊♈♒♋
 
You can't be serious,sidhani kama kuna mgombea anaweza kuahidi hayo.
 
You can't be serious,sidhani kama kuna mgombea anaweza kuahidi hayo.

Chezea ccm wewe. Wao wanaweza kuahidi daraja pasipo na mto. Magufuli aliaahidi kufufua kiwanda cha vifaa ya umeme arusha ili kitengeneze ngozi. Yaani kipindi hiki ccm wanamwaga tu ahadi, regardless.
 
Kwa CCM inawezekena, mbona Kikwete aliahidi Kigoma itakuwa Dubai!

hahahahaha sikuisikia hiyo ila now nasubiri hizo mil.50 za magufuli kwa kila kata/kijiji.
 
You can't be serious,sidhani kama kuna mgombea anaweza kuahidi hayo.

Muulize Hashim Rungwe kaaidi kilimo cha kumwagiliwa na ndege na helicopter mkuu ccm ndio kabisa hawashindwi kuhaidi hivyo vitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom