Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,640
- 3,119
Mimi naona wakati wa Campaign wakitoa ahadi ziwe zinanukuliwa mahali halafu Muhula ukiisha asipotimiza Ashtakiwe kwa udanganyivu/Kujipatia ujira kwa njia zisizo halali kuna Kiongozi mmoja wa Dini alipiga sana Fix wananchi wake
NI MAONI YANGU TUU
NI MAONI YANGU TUU
