Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Kama huwezi, itakubidi usingonoke kizembe. na sipongonoka kizembe UKIMWI kwishnei!!Hii Adhabu unaweza kumaliza ndizi kumi Bigirita ?
Kama huwezi, itakubidi usingonoke kizembe. na sipongonoka kizembe UKIMWI kwishnei!!Hii Adhabu unaweza kumaliza ndizi kumi Bigirita ?
Kweli sisy ni adhabu maana najaribu kutafakari yaani ukila ndizi moja tu the way its heavy in your stomach sasa na imagine kumi si ndio kuvimbiwa huko.Hii Adhabu unaweza kumaliza ndizi kumi Bigirita ?
Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupu
.......Haya lingine hili, kuna research ilisema wanaume waliotahiriwa wanaweza wasipate maambukizo ya ukimwi.........leo tena ndizi, kesho watasema pizza, halafu keshokutwa tacos then ubwabwa na maharage.....huu ni wizi mtupuuu.
ha ha ha komradi hii inatakiwa kabla ya "ngono zembe" maana research inasema ndizi inazuia transmission ya HIV hebu soma hapa chiniKula ndizi mbivu kumi kila baada ya ngono zembe moja.
According to a new research, lectins, which are derived from bananas, might be helpful in preventing sexual transmission of HIV. Lectins, a set of naturally occurring chemicals in plants can cease the series of reaction that leads to a variety of infections.
poleni wote hata siku moja musije mukaota basi fanyeny then nawaletea mafuso na ndizi kibao acheni hizo wanajamiif hivi kila wanachosema wao iwe poa haya kwazi kweni mie na wangu wa huba milele
mambo ya ajaabu hayo
conquest
SIDANGANYIIIIKI!! hata msemeje najua dawa ya ukimwi bado,fakamieni hayo madizi mvimbiwe bure mfe kwa ukumwi kwa ngono zembe,mimi SIDANGANYIIIKI.!ha ha ha komradi hii inatakiwa kabla ya "ngono zembe" maana research inasema ndizi inazuia transmission ya HIV hebu soma hapa chini
tatizo letu watanzania ni uvivu wa kujituma, ukisikia kitu usisubiri utfuniwe na wewe ingia kwenye utafi, kisha saidia kuthibisha, ama kuongezea palipopungua,Hata mimi nashangaa, labda watuelimishe namna ya kuzitumia. pengine inatakiwa ziliwe zikiwa mbichi.