Ah gari tu yenyewe ina sense kuna object mbele inakamata brakes yenyewe. Gari za huko zina driving assistanceBreak ni kunusa tu😆🤣
Facejf tayariBahati mbaya gari ime fail break huko. Utasikia "kazi ya Mungu haina makosa"
🤣nimesoma zaidi ya mara tatu sijakuelewa, sasa ndiyo nimeelewa👏✋👍😆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio mitaa ya ushuani kabisa kama sio Msasani basi ni Masaki huko! Huko gari zinazopita 80% hazina miaka zaidi ya mitano toka zitoke kiwandani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah gari tu yenyewe ina sense kuna object mbele inakamata brakes yenyewe. Gari za huko zina driving assistance