She can't be serious, imeeditiwa hiyo😪 na mtoto😳Bahati mbaya gari ime fail break huko. Utasikia "kazi ya Mungu haina makosa"
Yaani ndo dada wa kazi hapo yupo na mwanao barabarani anapiga picha!!aisee hatariBahati mbaya gari ime fail break huko. Utasikia "kazi ya Mungu haina makosa"