ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,835
- 3,190
Mz.ee wa mikasi katika social medias
Ni wazi Mwendazake hakupendwa kwa sababu ya kumbeba huyu kama hakuna wengine wenye uwezo zaidi.Mwigulu hapendwi kama mwendazake
Mama kasema mpe mchawi akulelee mtoto..🤣
Huenda anatafutiwa sababu ya kufutwa..
Wewe ni nani hadi abadilishwe ,kama wewe humpendi kuna wengine wanampenda haiwezekani ukapendwa na kila mtu,hii ndio tunaita usiyempenda kaja.Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Wewe lazima utakuwa Mnyiramba mwenzakeMimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Kuna mmoja alikuwa na PhD fake akavuruga nchi lakini wewe unaona ndiye anafaa, yaani tabu tupu kama ulivyosema.Kumbuka huyu sio kilaza Mnyika wala kilaza Mbowe. Ame elimika vizuri sana, na ni mmoja ya watanzania waliofauli vizuri. Inawezekana nazungumza na mwana JF ambaye hajui nini maana ya kupata First Class katika ngazi ya Degree.
Alifanya vizuri kwa nafasi ya Ukkurugenzi, Benki Kuu na Naibu Waziri wa Fedha, hayo ya kumkomesha Rwakatare kama Mbunge wa Bukoba kupitia Chadema haiuondoi usomi wake, weredi wake haitufanyi Watanzania wote tusahau uwezo wake.
Hatushangai tunafahamu kuna watanzania wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii na hawana jema. Ukimtukana baba yako wana kusifia, ukimfanyia mazuri mzazi wako wanakuzomea.
Jamii gani hii ya Jamhuri ya JF. Ukiwa Mchaga utasakamwa Ukiwa Msukuma hafai, ukiwa kiliza uko Chadema wewe Msomi, ukiwa na akili puvu ukiwa CCM wewe mjinga. Taabu tupu.
Ukianza kugawa watu ni mwanzo wa kushindwa uongozi.Kiongozi anaunganisha watu pamoja.Mawaziri wengi wameshindwa hata kufikiriwa kwa nafasi ya makamu wa rais kwa kigezo hiki.Sijui kwa nini BAVICHA huwa wanajichosha akili namna hii
Kiujumla nafasi ya mpango wizara ya fedha imeshindwa kuzibwa vilivyoKwa hiyo hii nchi kila kiongozi anawekwa kwa majaribio.tuna safari ndefu sana.
Yaani mtu mbovu anakabidhiwa hazina ya nchi,tumpe muda aharibu kwanza.Wapo watz wenye weledi na uadilifu wa kutenda ambao hawahitaji kupewa muda.
Mbaya zaidi mama kampa mkwe wake uwaziri...duh.Tutaona mengiKwa Mwigulu mama kachemka
Hafai mama katetereka hapa.Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Mwigulu Dr. ni kiongozi mwana siasa makini sana mzalendo anayeipenda nchi yake , dr. ni mtaalamu wa mambo ya fedha hata bungeni mara ngapi anasimama kujibu maswali yanayoihusu wizara ya fedha hata akiwa wizara nyingine? hizo chuki sijuimhuwaga zinatokana na nini mi nafikiri ni yale mapenzi na ccm aliyonayo wapinzani kinawauma sana sasa mtanyooka ngoja aje abane ruzukuDr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Nadhani aliwekwa kwa maksudi. Hivi hiyo Wizara kuna muda wa blah blah? Hapo anajua ni results zinahitajika halafu Wizara kama hiyo ni black and white hamna grey. Dhihirisha kwa takwimu na data basi.Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Msituletee ukabila wenu hapa. Mwigulu ana 1st class ya uchumi kwa 1st degree na masters pia na ana PHD ya uchumi. Unamlinganishaje na Kimei? Kwa kujaza wachaga CRDB?Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.