Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Hivi watu mnaishi inchi gani?Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Hivi watu mnaishi inchi gani?Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Hawa watu wa Kuomba omba " RALA MASKINI!!!"Kama siyo mnyirambabni mgogo.
Kwani rais huwa anafanya maamuzi kutokana na mitandao inavyotabiri?Mie nimefurahi rais hajasikiliza manenobya mitandaoni na wapinzani kumpangia watu...kawapiga low blow moja matata...
Naam!!Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Kwanini?Hafai nasema HAFAI
Hii hii ya samia mkuuHivi watu mnaishi inchi gani?
Umeongea ukweli kabisa mkuu. Mwigulu ni jitu la ovyo sana kulipa wizara makini kama wizara ya fedha.Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Kumbaf yakoAcha kutokana binadamu
Namkumbuka diwani wetu wa USA River aliyechinjwa km kuku.Hapendewi na wewe ua Mama Samia au CHADEMA? CCM wanampenda.
Aligundua upande WA kubeba Mawe hauna Tija kama WA kulamba viatu. Mama Samia kanichefua kumweka huyu mchawi kwenye Wizara nyeti.Alikuwa kiongozi mwenye ustadi aliyekuwatayari kubeba mawe ili kuupinga utawala wa shule sijui hii morali iliishia wapi
Mwinguli ingefaa aende wizara ya ujenzi awe anashika lile kopo la colour spray ili awe anapiga "X" nyumba zilizo kwenye road reserves, ana uzoefu huko kutoka kule Jamhuri ya social media.Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.