Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
HatufaiMkuu kwa mwigulu hapo tumepigwa tena Asubuh sana,
Siasa kwenye uchumi wapi na wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
HatufaiMkuu kwa mwigulu hapo tumepigwa tena Asubuh sana,
Siasa kwenye uchumi wapi na wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele za nini teuni wakwenu anayewafaa kutoka cdm huyo kateuliwa na walio madarakani ambao ni ccm.Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Hafai kabisa .nimtu wa jazibaMimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Labda kwao huko Iramba sijui kiomboi, ila kuja huku Ikungi, manyoni na itigi hawampendi na hata sigida mjini paka kule ilongero hawampendiRais wa singida United
Unadhani sisi wa iramba tunamhitaji? Watu wanakenua meno ni mifupa huyo jamaa watu hawampendi hadi kwao, sema akikujua kiukweli Izraili anakuhusuLabda kwao huko Iramba sijui kiomboi, ila kuja huku Ikungi, manyoni na itigi hawampendi na hata sigida mjini paka kule ilongero hawampendi
Kwa Kimei no,Mchaga hapana.Mh.Rais kwa upande wa waziri wa fedha amakosea kidogo.
Dr.Kimei bila kukupesa ndiye anayefaa kuwa waziri wa fedha.
W
Mwigulu ataua sekta binafsi
Yaani umeandika sentensi moja hapo umemaliza!Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Samia2025Kitendo cha mama kumteua kuwa waziri wa fedha, kwa ninavyomjua Mwigulu Nchemba atakitumia vema cheo hicho kujiuza kwa watu afahamike zaidi ili kujijenga kisiasa maana ana ndoto za Urais zinamsumbua sana. Daaah!! Poa bwana Mwigulu 2025 umepewa goli ushindwe tu wewe kufunga
Kwa Kimei no,Mchaga hapana.
Inasemekana aliiba mnoo kura. Alimwibia kura jiwe hadi zikazidi idadi ya wapiga kura wenyewe! 2025 anang'olewa!Unadhani sisi wa iramba tunamhitaji? Watu wanakenua meno ni mifupa huyo jamaa watu hawampendi hadi kwao, sema akikujua kiukweli Izraili anakuhusu
Kwa Kimei no,Mchaga hapana.
Ahahahahaha ka anataka kung'olewa vipingili?Angalia hizi kauli zako Kijana! Sema unamkubali. 😇