😁😁😁😁😁Labda nchi ya babu yako
Dr Mwigulu Nchemba kati ya Watanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Uraisi wa Singida united unamtosha.Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Alikuwa kiongozi mwenye ustadi aliyekuwatayari kubeba mawe ili kuupinga utawala wa shule sijui hii morali iliishia wapi
Hafai+hafai+hafai.
Kijana anaroho mbaya usiseme
Team mwigulu tunasubiri mama amalize vipindi vyake,tuanze kazi,mwigulu mtu poa sana naamini atatuvusha usihofu mkuu.Uraisi wa Singida united unamtosha.
Huyo ni dikteta afai
Hapo Wizara ya Fedha, Mwigulu anaenda kuwa Naibu Waziri. Waziri kamili atakuwa ni Dr Mpango.Na ndio amehudumu wizara nyingi nyeti
Hivi kuna aliyekuwa Waziri, ameachwa kuwa Waziri? Subiri kwanza, kadiri siku ziendavyo ndiyo utafahamu nani kateuliwa kuwa Waziri, na nani aliqchwa alimradi siku zipite, kuzuia taharuki.Mie nimefurahi rais hajasikiliza manenobya mitandaoni na wapinzani kumpangia watu...kawapiga low blow moja matata...
Mwigulunakili anayo, anachokikosa ni hekima na utu.Kumbuka huyu sio kilaza Mnyika wala kilaza Mbowe. Ame elimika vizuri sana, na ni mmoja ya watanzania waliofauli vizuri. Inawezekana nazungumza na mwana JF ambaye hajui nini maana ya kupata First Class katika ngazi ya Degree.
Alifanya vizuri kwa nafasi ya Ukkurugenzi, Benki Kuu na Naibu Waziri wa Fedha, hayo ya kumkomesha Rwakatare kama Mbunge wa Bukoba kupitia Chadema haiuondoi usomi wake, weredi wake haitufanyi Watanzania wote tusahau uwezo wake.
Hatushangai tunafahamu kuna watanzania wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii na hawana jema. Ukimtukana baba yako wana kusifia, ukimfanyia mazuri mzazi wako wanakuzomea.
Jamii gani hii ya Jamhuri ya JF. Ukiwa Mchaga utasakamwa Ukiwa Msukuma hafai, ukiwa kiliza uko Chadema wewe Msomi, ukiwa na akili puvu ukiwa CCM wewe mjinga. Taabu tupu.
Wewe ni miongoni mwa wachache walioelewa.Mwigulu kapewa kama screen, remote ni Dr Mpango.
Usitiaibishe kiasi hicho bwana. Jakuna mhehe wa hivyo. Ulimhehe va kwi?Nene ndimhehe va kwibomaa.sina unyiramba wowote ni vile kijana anafaa sana.
Kwa manguo yake tu haya ya ajabu ajabu, inaonekana ana tatizo fulani kichwani na moyoni.
View attachment 1739919View attachment 1739903View attachment 1739901View attachment 1739939
Field Marshal bwana...katika kampeni ya kuusaka Urahisi! Alimtembeza Musa mikoa karibu yote lakini bado akaambulia yai
Wewe endelea kusema hafai wakati CCM tunamwandaa miongoni mwa wengi aje kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama chetu.Kula tano ni waziri mbovu kabisa
Basi na wewe utakuwa muhuni, muuaji, mjivuni, mtukanaji, mwenye dharau na mwenye kujipendekeza...Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Rais wa makaravati!Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.