KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,611
Mimi naomba nifahamishwe ukiwa kijana umeoa aujaoa/umeolewa haujaolewa najua ulikuwa na ndoto kwamba mimi nikitaka kuoa lazima nioe mwanamke wa jinsi fulani!au Nikitaka kuolewa lazima niolewe na mwanaume wajinsi fulani!!Sasa je katika ndoto zako zakipindi hicho je ulimpata yule uliyekuwaukimfikiria katika ndoto zako??Au mambo ya Climate change ukajikuta hupo kule ambako wala hukuwanafikira nako??lakini maisha yanaenda raha mstarehe!!Kuwe kuzuri, kubaya maisha ya juu, ya chini, ya kati!!Tofauti na matarajio hebu weka hapa utujulishe kuwa kweli ndoto hukamilika wakati umeamka!!:lol: