Ndiye yule yule, au?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi naomba nifahamishwe ukiwa kijana umeoa aujaoa/umeolewa haujaolewa najua ulikuwa na ndoto kwamba mimi nikitaka kuoa lazima nioe mwanamke wa jinsi fulani!au Nikitaka kuolewa lazima niolewe na mwanaume wajinsi fulani!!Sasa je katika ndoto zako zakipindi hicho je ulimpata yule uliyekuwaukimfikiria katika ndoto zako??Au mambo ya Climate change ukajikuta hupo kule ambako wala hukuwanafikira nako??lakini maisha yanaenda raha mstarehe!!Kuwe kuzuri, kubaya maisha ya juu, ya chini, ya kati!!Tofauti na matarajio hebu weka hapa utujulishe kuwa kweli ndoto hukamilika wakati umeamka!!:lol:
 
boss kama nimekuelewa vizuri unamaanisha "aina ya mtu nilekuwa nikitamani kumuoa aje awe mama ya batoto bangu"..kama ndivyo mie nasema YES..nimebahatika kupata aina ile...

sema sio yule nileanza naye mwanzo...na nirahisi kama hujaoa au kuolewa..u just hang-out wit "ur dream guys n ladies ambao baadae mmoja wao anakuja kuwa ubavu wako"...sasa wewe jifanye mjanja unataka kuoa mtoto mwenye heshma zake na mapenzi ya dhati ila kila siku ww unazagaa na mizoga ya jolly, kona-baa, ambiance, sewa buguruni n.k.... mambo ya birds of the semu feathers yana-matter vibaya sana
 
Off course I got her, but through a little bit long experience in life....!
 
Asilimia zaidi ya 95 wameathiriwa na climate change...utandawazi..hela..ulimbukeni...list continues....:mad2:
 
Mie sikupata niliyemtaka...nilimuona nikampenda lakini yeye hakupenda niwe wife alioa na mie kuolewa na mwingine kabisa :confused2:
 
Mimi naomba nifahamishwe ukiwa kijana umeoa aujaoa/umeolewa haujaolewa najua ulikuwa na ndoto kwamba mimi nikitaka kuoa lazima nioe mwanamke wa jinsi fulani!au Nikitaka kuolewa lazima niolewe na mwanaume wajinsi fulani!!Sasa je katika ndoto zako zakipindi hicho je ulimpata yule uliyekuwaukimfikiria katika ndoto zako??Au mambo ya Climate change ukajikuta hupo kule ambako wala hukuwanafikira nako??lakini maisha yanaenda raha mstarehe!!Kuwe kuzuri, kubaya maisha ya juu, ya chini, ya kati!!Tofauti na matarajio hebu weka hapa utujulishe kuwa kweli ndoto hukamilika wakati umeamka!!:lol:

sijaolewa ndugu, ila ninaempenda mimi na kutamani awe mme wangu anampenda mtu mwingine, wanaonipenda mimi na kuonesha nia ya kuoa sitaki hata kuwaona wala kuwakaribia, basi kazi kweli kweli
 
Aisee pole sana!
 
Sikuweza kutimiza ndoto yangu.. ila kwa hasira niliamua kumchukua Dada yake ambae wamepishana 2ys, ila mpaka sasa sijapona.. maana sitaki tena kumuona wala kumsikia.. hata akija kumtembela dada yake/mke wangu najitahidi sana kutokuwepo nyumbani ili nisionane nae.. ila nashukuru kwa namna nyingine kama imenisaidia kuimarisha ndoa yangu. kwani najitahidi sana kumpendeza mke wangu ili mdogo wake aone kua aliacha nafasi nzuri..
 
sijafanikiwa ndoto yangu nilipanga nioe mwanamke ambaye hajamegwa lakini nimemwoa ambaye tayari mitarimbo kadha imeshapitia pale sehemu
 
nimecheka mbaya, kwa nini ulitaka ambaye hajamegwa, wewe mwenyewe ulijitunza mpaka ndoa? kama hukuweza kufanya hivyo usitegemee kukutana na aliyejitunza, sorry
 
sijaolewa ndugu, ila ninaempenda mimi na kutamani awe mme wangu anampenda mtu mwingine, wanaonipenda mimi na kuonesha nia ya kuoa sitaki hata kuwaona wala kuwakaribia, basi kazi kweli kweli

Pole we! Na halafu siku hazigandi basi shosty nikuambie kabisa. Unaweza jikuta mambo yanakuendea hivyo hadi jua linazama jioniiiii! Ndio maana mie watu wanaonipigia kelele na utaratibu wangu wa maisha huwa nawatazama tu kisha nawapuuza.
 
Da Sophy we ni mswahili sana...Unaonyesha unaishi kwa Mnyamani!
 
nimecheka mbaya, kwa nini ulitaka ambaye hajamegwa, wewe mwenyewe ulijitunza mpaka ndoa? kama hukuweza kufanya hivyo usitegemee kukutana na aliyejitunza, sorry
Wanaume tukijitunza hadi ndoa huwa to loose marks na mdem/wake zetu kumengwa na wengine kwa hiyo sikujitunza I was looking for experience before marriage ndiyo maana pamoja na yeye kumengwa na wengine kabla alipofika katulia. I mean she is comfortable with my experience. Maana hata demu wangu wa kwanza nilipo mmega tu hakurudi tena kwa sababu nilituma experience ya sabuni
 
Mungu saidia, mule mule, nilijizuia sana hadi nimpate wa aina ninayoitaka japo ilinigharimu muda wangu mwingi na kuanguka kwingi,
maana kila nilipogusa najibiwa ana mtu, nikiuliza kwani mimi sio mtu naambiwa nimechelewa.....
 
Pole kwa kuanguka kwingi,je,sasa umeshampata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom