Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,240
- Thread starter
- #41
Wanakera kweli watu wa ivyo!!! Unakuta mtu hakununulii ata pipi ya hamsini lakini kazi kukukosoa! Kila mtu na misimamo yake kimaisha... Ukifuata watu wanavyoishi hautasonga mbele. Achana nao Kassie...
YOU ARE THE BEST AT BEING YOU
Kabisa yaani hawanisumbui sana ssna wakinikera huwa nawaambia ndivyo nilivyo basi.