Ndivyo nilivyo .... Niko hivo....

Ndivyo nilivyo .... Niko hivo....

kasie natamani uwe mke wa ndoto yangu,sifa zote ninazozipenda unazo,huwenda imepangwa tukutane JF

Hahahahhahaa umri wa kuolewa wa Kasie umeshapita. Ila naamini bado wapo waschana wenye haiba uitakayo usikate tamaa endelea kutafuta tuu. Halafu ukikutana na mschana uliyempenda kiukweli uwe mkweli kwake kwa maana umwambie yale yote ambayo hayakupi utukufu na yanakukwaza. ... sio una msifia akiondoka unalalama na hela ya kwenda kubandika kope unampa. Akikuelewa na kufanya basi unaweka ndani mazima akigoma unaendelea kutafuta wengine.

Mie kunivalisha shela saa hizi utaambiwa nimekupa limbwata buree.
 
Totally wrong Kassie
Ni umri upi ni sahihi kuoa au kuolewa?
Do what makes happy, regardless of others comments
Utawaridhisha wanadamu basii
 
Sina hakika na muda sahihi, nilicho na uhakika nacho ni kuwa, am happy the way I am.
 
Back
Top Bottom