Iko vizur sana nimekupenda japo skujiw,unafaaa kwa kila namna kuolewa nk, ktk maisha yng,ipo siku kama imepangwa.
Cheers big dadaThanks, I have a glass of sweet red wine here we can tost. ....
Cheers... For being me...
Na ndivyo unatakiwa uwe ili uweke utofauti na waoAsante ndivyo Kasie alivyo.
Hongera.
Kama uko hivyo haufati mkumbo kama vidada vya siku hizi unafaa.
Siku hizi wadada wanatisha sana siyo siri;
Ngozi bandia
Nywele bandia,
Kucha bandia,
Yani maisha ya siku hizi ni zaidi ya movie.
Naweza nisiwe mrembo ila huwa napenda vitu visivokolea sana hata chumvi na mafuta kwenye chakula viwe kidogoo.
Si kuwa sipaki kabisa rangi za mwili na mdomo na wanja hapana, ila kama nimepaka basi huwezi kujua au nikaishia kupaka mafuta tuu mwili wote (nnayotumia siku zote) nikaongeza wanja wa chini ya macho na lipshine nimemaliza bila kusahau manukato ya upole.
Kunishauri sio vibaya lakini unanishauri kama nani kwangu?ni vibaya kushauriwa maishani?
Unakuta anakuwa kama kinyago[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna watu wabaya kama wafanyabiashara. Mie nikienda kununua kitu huwa najiuliza mwenyewe na nikiridhika hakuna wa kunishawishi. Na akijiloga mwenye duka kujisogeza kunipamba na maneno matamu ya bidhaa yake kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua bidhaa ile huwa naiacha na kwenda itafuta mahali pengine au kurudi siku ingine. Napenda nunua kitu kinachonifaa na nakitumia ipasavyo. Mfano hizi nywele za rangi ya gold nilisikia wataalam wa urembo wakisema hizi nywele zinawapendeza watu ambao weupe kidogo au maji ya kunde, sasa utafurahi na roho yako ukimkuta mdada katinga nywele hiyo halafu ni mweusi kama lupita nyong'o kisha kaweka rangi ya mdomo ya Pink iliyokoa mweeh siwasemi vibaya wadada laah, acha nibakie mshamba aiseeh.
Asante japo yaweza kuwa nna mapungufu vile vile ni kuwa niko hivyo sana mahei hei kuta tangu kuleee ugeuke kutizama yule anayekuja ni nani.
Sipati picha speed na race ulotoka nayo hapo kanisani baada ya huyo mdada kukudistress [emoji593][emoji593]
Kasinde katika ubora wakoo!!!
Embu niambiee ni nani huyo mama anayekuchezea akilii?
Mimi nimeridhika na wewe, yeye anakutakia nini??
I love u Kasie
hahahahah
kasie
Ila wanawake mna vijimamboo?
si ungemalizana nae huko tu?
au umemwoneaa aibuu?/
Miss Natafuta njoo ujibu hizi tuhumaa, maana unaonekana ni wewe tu.