Ndivyo alivyoonekana Ng'ombe huyu mwenye uwezo wa kukamuliwa!

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Ng'ombe huyu ana uwezo wa kukamuliwa lita 30 kwa kutwa.

Haya sasa wale wafugaji kazi ni kwenu.

MSALABA IMEMPENZA SANA!
 
Ng'ombe huyu ana uwezo wa kukamuliwa lita 30 kwa kutwa.

Haya sasa wale wafugaji kazi ni kwenu.

MSALABA IMEMPENZA SANA!

Ni Freshian huyo, wengine wanatoa hadi lita 40 kwa siku sema tu maziwa yao ni mwepesi kwa kuwa water content ni kubwa.
 
Back
Top Bottom