Kaka acha. Mwanamke hakupigii , ukimpigia anasema hana vocha,anasema ana njaa. Mm kuna kipindi niligive up kabisa.. napatagwa na hasira maana inakera, yaan mtu hajiongezi daily ni wimbo huo huo