Ndio, wewe ni ombaomba

Yepi hayo mengine.niambie ili nifuatilie niache kutoa invoice
Hahaha
Hivi unajua hata maongezi tuu unaweza mwelewa mtu yukoje?!
Wewe mwenyewe uamue unadeal na watu wa aina gani!! Ben ten, umri wa kati au wazee!! Uelewa wao kupitia mazungumzo, busara na umakini wa kujibu maswali!
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahaha
Hivi unajua hata maongezi tuu unaweza mwelewa mtu yukoje?!
Wewe mwenyewe uamue unadeal na watu wa aina gani!! Ben ten, umri wa kati au wazee!! Uelewa wao kupitia mazungumzo, busara na umakini wa kujibu maswali!
Watu wengine wana vipaji vya uongo bna.
Bill ndo kipimo cha kiume bna
Walipe bill
 
Ndugu yangu nakuopongeza sana.yaani ungekua karibu ningekununulia angalau kill barid.yaani hawa wanawake wa siku hizi sijui wakoje,unaweza ukawa na lengo na mtu,kumbe ombaomba.basi kwa mara ya kwanza unaweza ukasema ngoja nimpe,kumbe akilini kwake anasema nimepata atm.shenzi kabisa,ila hongera tena ndugu
 
Juzi nilimpa mwanamke elfu kumi, iliniuma sana, sikupata hata usingizi!
Hapo na wewe unakosea bro,ten sio ishu sana.mbaya ni ile anakuombaomba mara kwa mara kama unaziokota vile.[emoji23][emoji23]
 
omba Omba Mpo ? Kilema Aombe Nawewe Mzima Uombe ? Mie Ndo Maana Siwataki Wanawawake Waliosoma Sana Wengi Wao Wanawaza Kutumia Tu Na Maisha Ya Anasa
We ndio hujui kaka,ogopa sana videmu vya uswazi,wanaomba hao! Unakuta demu hafanyi kazi kazi ni kuomba buku 2 buku3. Ikifika jioni kajaa
 
Ulipo feri mkuu ni kumtumia hata pesa za mwanzo kama yeye ni omba-omba then wewe ni danga.
 
Duh kwahiyo hapo ishakutoka kama laki moja hivi fasta fasta !!! Duh watu na mipesa yao,mi sitoagi pesa hovyo hovyo namna hii bora nimtumie hata bimdashi sio kumtumia dem ambaye sina malengo nae badae
 
[Samahani lakini!!!Hii ina ukweli etiii wanaume? ATTACH=full]719816[/ATTACH]♀️‍♀️‍♀️[emoji144]‍♀️
 

Attachments

  • 249bc84a-7303-4952-8cc9-27b58220f61f.jpg
    49.7 KB · Views: 55
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…