Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Lakini kwani kuwa wasomi ni kugoma? Vipi kama hawaridhiki na sababu au jitihada zilizofanywa na chama cha wafanyakazi.yaani.. wasomi wenyewe ndio wanapata shida ya kujua kama wagome.. sitoshangaa maprofesa wa vyuo vikuu wakiandamana kuunga mkono serikali!
..................Alishangazwa na uamuzi wa mgomo huo uliopangwa kuanza Mei 5 mwaka huu kwa kuwa Tucta imekuwa ikishirikishwa kwenye vyombo vya maamuzi na serikali na kuleta matunda kwa wafanyakazi, ikiwemo kuundwa kwa bodi ya mishahara.
"Hali hii ya ushiriki wa Tucta katika vyombo vya maamuzi na nia ya TUCTA kuandaa mgomo inaashiria kuwa kuna tatizo la msingi; ama la mfumo wa ushirikishwaji wa wafanyakazi au ushiriki dhaifu wa TUCTA katika vyombo vya maamuzi," alisema Maswanya.............
Lakini kwani kuwa wasomi ni kugoma? Vipi kama hawaridhiki na sababu au jitihada zilizofanywa na chama cha wafanyakazi.
Inawezekana kuwa Maswanya na Mtalo wana point, yaani viongozi wa TUCTA wanataka kuwaendesha wafanyakazi puta. Kama kweli viongozi wa TUCTA walishirikishwa katika maamuzi ya serikali na wakapitisha maamuzi yasiyokuwa na maslahi kwa wafanyakazi basi viongozi hao ndio wa kulalumiwa. Mgomo ungekuwa na maana tu kama serikali ilijiamulia mabo kimya kimya bila kuwashirikisha TUCTA.
Unajua hivi karibuni wafanyakazi/wahadhiri walikuwa wakilalamikia mafao yao ya kustaafu kuwa kidogo kulinganisha na wafanyakazi wengi wa sekta nyingine na wakiomba kuangaliwa upya ukokotoaji wa mafao.Nafikiri wana point.............ushiriki wa TUCTA kwenye maamuzi wa maslahi ya wafanyakazi Tanzania.......unahitaji kuangaliwa tena.........
Mkuu Mwanakijiji......unaelewa nguvu ya vyama vya wafanyakazi inavyokuwa........lakini nyumbani........kwa kweli inasikitisha.....ni ukondoo tu
.........Kama ni kweli kuwa THTU hawakushirikishwa......ni vema position yao ikawa clear...........ku-join vita usiyoifahamu you are likely to be shot first...........
Mzee Mwanakijiji,My Take:
yaani.. wasomi wenyewe ndio wanapata shida ya kujua kama wagome.. sitoshangaa maprofesa wa vyuo vikuu wakiandamana kuunga mkono serikali!
Mzee Mwanakijiji,
1. Hiko chama cha wasomi mbona mambo yao ni mswano!. Wanataaluma take home yao inaanzia Six figure, wagomee nini?. Naamini wafanyakazi wa taasisi za elmu ya juu ambao sio wanataaluma, waawishi uunga mkono mgono, labda kama viongozi wao watawasaliti kuegemea kwa wanataaluma.
2. Wafanyakazi wa Tanzania ni waoga na wanafiki, kaa walivyo waanchi wa Tanzaia a kuichagua CCM. Hata kaa TUCTA itaorganize vipi, momo hautafanikiwa wa sababu at the end of the day, seriali itapata court injuction itakaodeclare mgomo ni illegal, watatoa tangazo atakayegoma, amejifukuzisha kazi, mgomo utafutwa.
3. Kama inavyohitajika kuwaelimisha watu kuwa CCM haina hati miliki ya utawala wa nchi hii, baadhi ya watu wanaichagua CCM kwa uoga na ignorance tuu, lakini wakielimishwa wataamka, ndivyo wafanyakazi wa Tanzania, wanavyotakiwa kueimishwa kuwa mgomo ni haki yao, na mwajiri, hana uwezo wa kumtimua kazi mfanyakazi aliyegoma kwa mujibu wa sheria.
4. Last week wafanyakazi wa Umma wa Uingereza wamefanya one day strike, Wizara ya ne ya Uingereza, FCO, ikawaomba wanabalozi wake wasigome, ili wasiwatese maelfu ya wategemea huduma za wanabalozi hao, kama viza, hivyo hawakugoma, japo stand still ilikuwepo kwa sababu clearance, inatoka London kwenye mgomo. Hivyo chama hicho ama kweli hakikushirikishwa na kinaona mgomo huo hauna tija kwa maslahi ya chama chao, then its their right kutounga mkono. Hapa issue sio umoja ni nguvu, hapa ni vita vya maslahi.
5. Kusema kweli nikimkumbua Leach Walessa wa Poland miaka hiyo, Tanzania bado hatuna chama cha wafanyakazi, vilivyopo ni mfano vyama tuu
kama jinsi tusivyo na chama cha upinzani ukiondoa mifano vyama vilivyopo!.
Mwanakijiji,i remember Bruno Mpangala.. sijui aliishie wapi.. wajifunze kutoka kwa Morgan kule Zimbabwe au Lula wa Brazil.. bado hatujapata Rais anayetoka kwenye vyama vya wafanyakazi.. angalau tuliwahi kuwa na kina RMK..
Mzee Mwanakijiji,
1. Hiko chama cha wasomi mbona mambo yao ni mswano!. Wanataaluma take home yao inaanzia Six figure, wagomee nini?. Naamini wafanyakazi wa taasisi za elmu ya juu ambao sio wanataaluma, waawishi uunga mkono mgono, labda kama viongozi wao watawasaliti kuegemea kwa wanataaluma.
2. Wafanyakazi wa Tanzania ni waoga na wanafiki, kaa walivyo waanchi wa Tanzaia a kuichagua CCM. Hata kaa TUCTA itaorganize vipi, momo hautafanikiwa wa sababu at the end of the day, seriali itapata court injuction itakaodeclare mgomo ni illegal, watatoa tangazo atakayegoma, amejifukuzisha kazi, mgomo utafutwa.
3. Kama inavyohitajika kuwaelimisha watu kuwa CCM haina hati miliki ya utawala wa nchi hii, baadhi ya watu wanaichagua CCM kwa uoga na ignorance tuu, lakini wakielimishwa wataamka, ndivyo wafanyakazi wa Tanzania, wanavyotakiwa kueimishwa kuwa mgomo ni haki yao, na mwajiri, hana uwezo wa kumtimua kazi mfanyakazi aliyegoma kwa mujibu wa sheria.
4. Last week wafanyakazi wa Umma wa Uingereza wamefanya one day strike, Wizara ya ne ya Uingereza, FCO, ikawaomba wanabalozi wake wasigome, ili wasiwatese maelfu ya wategemea huduma za wanabalozi hao, kama viza, hivyo hawakugoma, japo stand still ilikuwepo kwa sababu clearance, inatoka London kwenye mgomo. Hivyo chama hicho ama kweli hakikushirikishwa na kinaona mgomo huo hauna tija kwa maslahi ya chama chao, then its their right kutounga mkono. Hapa issue sio umoja ni nguvu, hapa ni vita vya maslahi.
5. Kusema kweli nikimkumbua Leach Walessa wa Poland miaka hiyo, Tanzania bado hatuna chama cha wafanyakazi, vilivyopo ni mfano vyama tuu
kama jinsi tusivyo na chama cha upinzani ukiondoa mifano vyama vilivyopo!.
Bila kukubaliana na Maswanya + Mtalo, bado nina mashaka sana na uongozi wa TUCTU kwa vile walishiriki katika kupitisha maamuzi ya serikali wanayotaka kugomea sasa.
Mzee Mwanakijiji said:My Take:
yaani.. wasomi wenyewe ndio wanapata shida ya kujua kama wagome.. sitoshangaa maprofesa wa vyuo vikuu wakiandamana kuunga mkono serikali!