Ndio wasomi wenyewe hawa..

Nakwambia, inatia kinyaa. In Tanzania, wasomi are the worst enemy of the people. We are the most coward and hypocritic of all the groups. This explains why the opposition gets the least support in cities where the so called 'wasomi' are residents!! Ukombozi wa nchi yetu utaletwa na mwananchi, the common man in Kantalamba, Mgela, Nzega,etc.

Wewe nawe si ni mmoja wao hao wasomi bana....do something then...unaona kabisa mna tatizo lakini nini umefanya kurekebisha hilo tatizo zaidi ya kuja JF na kujirushia madongo? So you are a coward and hypocrite too? Wow....
 
Kulalamika pia ni sehemu ya kutatua tatizo, angalia natoa mafustrations na mastress au?
 
Kulalamika pia ni sehemu ya kutatua tatizo, angalia natoa mafustrations na mastress au?

Unachofanya wewe una vent mi frustrations yako. Hii ni kuweka band-aid (plaster) kwenye donda ndugu. Ukisha vent hapa unajisikia ahueni kidogo kwa muda mfupi halafu huyo unaenda zako UDASA kuzimua Safari na nyama choma siku inaisha. Sasa hapo unakuwa umetatua tatizo gani wakati tatizo kubwa lipo linabaki palepale?
 
Angalau nimeliponesha liroho langu-kuahirisha matatizo pia ni solution wakati nikisubiri mijitu mingine iamke!!
 
[I declare that I do have conflict of interests in this topic]

Though I do not have many facts on the ground, from the post inaonekana mbali na kutoshirikishwa kwenye maandalizi ya mgomo,
THTU haioni kwa nini wagome, kwa vile yale yote ambayo wanaweza kuyapata kwa njia ya mgomo, yanapatikana kwa njia ya mazungumzo.

Pia inabidi ujue kwamba there is no love lost between THTU na RAAWU -- kwa vile THTU ni kama 'splinter group' from RAAWU baada ya kuona kuwa na THTU kutakuwa ni suala lenye manufaa zaidi kuliko enzi za RAAWU. From the look of the things, RAAWU and TUCTA hawakufurahishwa na uamuzi huo, na hivyo kuiona THTU kama vile ni worker's union kambo.

1. THTU ilijiondoa RAAWU
kutokana na kutoridhishwa na hali halisi.
Katika nyaraka nyingine Ngulla anadaiwa kumwajiri dereva wa gari lake binafsi mwenye leseni ya daraja ‘D' na kuidhinisha alipwe mshahara na shirikisho wakati akiendesha gari la nyumbani.

Kwa mujibu wa nyaraka hizo, ajira ya dereva huyo iliendelea hadi alipogombana na mkewe Ngulla na kutimuliwa. Wakati wote huo gharama za uendeshaji wa gari hilo kwa maana ya mshahara wa dereva, mafuta na matengenezo zinadaiwa kulipwa na shirikisho.

Tuhuma nyingine zinazomkabili anadaiwa kujihusisha na migogoro ndani ya TUICO na RAAWU, iliyosababisha kujiondoa kwa baadhi ya wanachama wa vyama hivyo na kuuunda umoja wao.

Vyama vilivyojitenga na kuunda umoja wao ni Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (THTU) na vyama vya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), National Microfinance Bank (NMB) na taasisi za fedha nchini.
2. TUCTA is bitter that THTU and other organizations walked out of TUCTA affiliation.
TUCTA Acting General Secretary Nicollous Mganya said in a telephone interview that
THTU was not registered in the list of TUCTA trade unions.
He said therefore that,
TUCTA had nothing to do with them and therefore the strike will not involve them.
"
TUCTA has a total of 14 trade unions and the strike decision was reached by members," said Mganya.
3. Dr. Mtalo is one of highly intelligent persons and wazalendo halisi wa Tanzania. There is more to this mgomo than meet an eye. It is unfair to categorise Dr. Mtalo na wasomi wengine as 'wapuuzi' on basis of the posted story.

Regards,

Mlenge
 
Angalau nimeliponesha liroho langu-kuahirisha matatizo pia ni solution wakati nikisubiri mijitu mingine iamke!!

Mkuu kitila

hapo UDSM mmekaa kisiasa sana, nadhani hata maamuzi ya msingi kabisa mpaka Ikulu iweke mkono,
KWA HILO LA KUSUBIRI HAO JAMAAA WAAMKE MIMI NAONA NI NDOTO, HIYO MIJAMAA INAHITAJI KUAMSHWA, HAWAWEZI KABISA KUSHIRIKI KWENYE KITU CHOCHOTE AGAINST SERIKALI KWANI KILA MTU BAADA YA KUFIKIRIA RESEARCHZ ZA KUWAKOMBOA WATANZANIA, WAO WAKO BIZE KUSUBIRI VIMEMO KUTOKA KWA MKUU YA PROMISE YA UWAZIRI HIVYO AENDE KUGOMBEA UBUNGE (Ref: Mwandosya, Mbilinyi, Kapuya nk)

MKUU WANAHITAJI BOOSTER HAO ILI WAAMKE

NA MAENDELEO YA KWELI KWENYE HII NCHI YATAPATIKANA TU KAMA HAO JAMAA WAKIAMKA NA WAKIWA UPANDE WA WANANCHI
 
Tatizo la Tanzania ni vyama vya wafanyakazi havina nguvu kubwa sana ya vimekawanyika sana na kufanya kusiwe na kuhessive kubwa katika kudai madai na pia matatizo ya kumfumo ya uchumi na hata serikali. Hivyo kama hawa jamaa wanagoma na elimu ya juu pia walikuwa wanagoma kudai madai yao y msingi sana
 
angalieni wenzenu huko Thailand.. na kwingine.. ndio maana nina uhakika kabisa hata akishuka malaika kuwaongoza Watanzania hawataenda popote..
 
Hapa Tanzania tofauti ya the so called msomi na asiye msomi hata siioni. Wote tu wababaishaji, waoga; na wapenda vioja na udaku.
 
Wengi ni wadesaji hapo sio wasomi. Ndio maana kutumia vichwa vyao kufikiria bado ni issue
 
Nakwambia, inatia kinyaa. In Tanzania, wasomi are the worst enemy of the people. We are the most coward and hypocritic of all the groups. This explains why the opposition gets the least support in cities where the so called 'wasomi' are residents!! Ukombozi wa nchi yetu utaletwa na mwananchi, the common man in Kantalamba, Mgela, Nzega,etc.
Ndugu Kitila hivi tukizungumzia wasomi, cut off yake inaanzia wapi? Maana tunakuwa soo general. Nauliza hivi kwa sababu kuna mtu anasema wanataaluma salary zao zinaanzia six digit. Huu ni upotoshaji maana nafaham fika wenye degree moja (Ma TA) hawafiki kwenye hizo digit.
 
With all due respect Sire.. if you do feel this way, why bother fighting?

when you are under attack the option not to is not an option; its a matter of survival. We sometimes fight now so that we don't have to fight in the future.
 
''kwingine.. ndio maana nina uhakika kabisa hata akishuka malaika kuwaongoza Watanzania hawataenda popote''
when you are under attack the option not to is not an option; its a matter of survival. We sometimes fight now so that we don't have to fight in the future.
Mzee.. hata sikuelewi.. hebu kuwa consistent kidogo... statement yako inaonyesha kama umekata tamaa ya mapambano....
 
''kwingine.. ndio maana nina uhakika kabisa hata akishuka malaika kuwaongoza Watanzania hawataenda popote''

Mzee.. hata sikuelewi.. hebu kuwa consistent kidogo... statement yako inaonyesha kama umekata tamaa ya mapambano....

sometimes I feel like that.. but its not a position of weakness, but a position of strength.. to understand your own weakness helps you to understand your strength. Kwa hali ilivyo sasa ni vigumu watanzania kufuata mtu ambaye anaweza kuwaongoza kuelekea mabadiliko. Huu ni ukweli wa kihistoria; we have become a docile bunch! Now, if everything remains the same it doesn't matter kama malaika atashuka na baragumu kwani mwitikio wa kwanza wa Watanzania utakuwa ni Je "ikulu watasema nini" na watasubiri CCM itoe maelekezo kama wanaweza kumuamini mjumbe huyo au la.

CCM ikisema "mpuuzeni huyo malaika" Watanzania watakumbatia hilo.
 
They say.."Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Groups"...
 
Back
Top Bottom