OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Adventure kitu kizuri sana kaka mkubwa ila isiwe karibu sana na kifo Eiyer!!!!
Mabosi na waajiri wengi hawazipendi hizi tarehe
Asubuhi utasikia "baby naomba unywe chai mda unaenda" mchana utaulizwa dear lunch tayari?" jioni kidogo "baby umeshindaje? Pole na kazi" haahhaha
Wale hawanaga mapumziko aisee
Hahahaha ndio wakoje hao mkuu?
Wanapokea mshahara baada ya miezi sita. Mshahara wa mwisho ulikuwa wa April, wanategemea may be September ndo watalipwa tena. Halafu wamepewa amri kwamba mfanyakazi yoyote asiyeonekana kazini kibarua kinaota nyasi.