Ndio tarehe zake hizi

utafiti na jua kuwa anakuja ila ameishia njiani hatafika home so jiandae mpaka mwezi ujao ndo atakaribia karibia home
Mzima wewe
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi niko salama sana nashukuru, naona tunamaliza leo kama utani mgeni Shaaban yuko njiani

Hakika mkuu, tuliowahi kupata japo siku mbili Raajab za kufunga alhamdulillah na tusiopata basi tujitahidi ndani na Shaaban
 
utafiti na jua kuwa anakuja ila ameishia njiani hatafika home so jiandae mpaka mwezi ujao ndo atakaribia karibia home
Mzima wewe

Mzima sana mkuu Mr Rocky, hii kitu ilikua inaniumiza kichwa ila afadhali imeisha

Vipi wewe mzima?
 
Last edited by a moderator:
Ooyooo wahindi ndio wanachangamka sana kwa kutoa saadaka ya kachori na badia na kaokao na sambusa za viziazina visheti ndo saadaka yao kubwa sana na hugawa wao wenyewe ili aonekane kwamba anatoa yeye hiyo saadaka na kupinda misifa
 


Na upendo kwa akinadada huongezeka nyakati hizi

Kama kuna alichokunyima atajidai yupo karibu sana na wewe

Hizi nyakati bana!
 


Na upendo kwa akinadada huongezeka nyakati hizi

Kama kuna alichokunyima atajidai yupo karibu sana na wewe

Hizi nyakati bana!

Asubuhi utasikia "baby naomba unywe chai mda unaenda" mchana utaulizwa dear lunch tayari?" jioni kidogo "baby umeshindaje? Pole na kazi" haahhaha
 
Ha ha ha haaaa huyu dear bhana lazima aje na wenzie wa kadi za michango !!!!!!!!
 
Asubuhi utasikia "baby naomba unywe chai mda unaenda" mchana utaulizwa dear lunch tayari?" jioni kidogo "baby umeshindaje? Pole na kazi" haahhaha

Ha ha haaaaaa ukiambiwa nipitie leo baby tukale is my treat..............njian unapitishwa duka alilobandika vitu anadaiwa laki mbili tu..............hny niazime ntakupa tmrw please baby!!!!!!!!

Usipotoa macho ndiooooo juuuuuuuuumla!!!!!!!! Sista sikusemi wewe mamy............mis yu diha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…