Ndio nimekoma sirudii tena

Ndio nimekoma sirudii tena

ukome tu uzinzi ni dhambi nenda kayajenge na mwenzio .. silaha kubwa ya ndoa nii mazungumzo, upedo ,utii, na kuchukuliana sasa wewe badala ya kusolve kule unatafuta mwanamke mwingine ambaye baada ya muda na yeye anaweza geuka tatizo katika maisha yako,.......mkuu sali sana achana na uzinzi ona sasa umepoteza elfu sabini kisa bao moja... japo ya vichakani ni tamu
Hakika toka nikujue leo umeongea "point" hakika roho wa BWANA amenena ndani yako ubarikiwe.
 
Mrudie Mungu kifo kinakuita uwezi pata amani kwa uyafanyayo ,Amani ya kweli yapatikana kwa BWANA
 
Ivi una kiu ya papuchi saana mpaka unajidhalilisha hivyo kama mtoto mdogo?
 
Haya ndiyo madhara ya kukimbilia ndoa wakati umri bado. Hata cha kufanya hujui unakuja kuuliza mtandaoni? Na una familia inayoamini ndani tuna baba?

Manina.
Inasikitisha kwa kweli
 
Kama udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake huu ni mmoja wapo. Hivi kweli mume wa mtu unafanya ngono uwanjani[emoji15]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom