Ndio nimekoma sirudii tena

Ndio nimekoma sirudii tena

ukome tu uzinzi ni dhambi nenda kayajenge na mwenzio .. silaha kubwa ya ndoa nii mazungumzo, upedo ,utii, na kuchukuliana sasa wewe badala ya kusolve kule unatafuta mwanamke mwingine ambaye baada ya muda na yeye anaweza geuka tatizo katika maisha yako,.......mkuu sali sana achana na uzinzi ona sasa umepoteza elfu sabini kisa bao moja... japo ya vichakani ni tamu
Silaha kubwa ya ndoa ni mazungumzo but kwake c ndoa mkuu
 
Mkuu usikome,hiyo ni ajali kazini,hakuna bao tamu km unapiga huku ukiwa na hofu ya kufumwa.
 
Weee endelea kulabata na
Mpango wa kando 70 kitu kidogo sana utapata ingne after 2days
 
Haya ndiyo madhara ya kukimbilia ndoa wakati umri bado. Hata cha kufanya hujui unakuja kuuliza mtandaoni? Na una familia inayoamini ndani tuna baba?

Manina.
Huyu manina ndio nani tena mpaka kumsifia hivi
 
Ndio maana timu zetu zikiwakilisha nchi huwa hazifiki mbali!!!

mikosi mnaileta nyie mnaofanya mapenzi kwenye viwanja tena huendi kuna team kubwa ufanyia mazoezi kwenye uwanja
 
da kuna vitu vinatesa yaani mtu mzima unapiga show nje ?
 
Ndio maana timu zetu zikiwakilisha nchi huwa hazifiki mbali!!!

mikosi mnaileta nyie mnaofanya mapenzi kwenye viwanja tena huendi kuna team kubwa ufanyia mazoezi kwenye uwanja
Wafanye mazoezi hii haiwapunguzii kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom