coby
JF-Expert Member
- Nov 28, 2008
- 342
- 39
Wadau nilikua nasikiliza wimbo wa msanii wa kizazi kipya Joseph Haule maarufu kama Prof. J wa "Ndio Mzee" na ndipo nikaanza kukumbuka ahadi za Jakaya kikwete moja baada ya nyingi kwa zote zaidi ya 70 sasa. Ndipo nikagundua Joseph alikua akimsema moja kwa moja JK kwani hadi hivi sasa amebakiza ahadi moja tu ya 'mabomba kutoa maziwa'!!