Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu ujui historia yake vizur kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika ndo maan wanaume awaoi siku maan kila kitu ambacho angepata kwny ndoa anapata kwako sasa ndoa ya Nini anaona akuna jipya ndo maan kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maan imeshuka sana kwa kujirahisisha
Tuliolaaniwa kula kwa jasho ni sisi iweje na ww unataka kula kwa jasho nyiny mteremko tu hamna namna
 
Labda si Jf watakupiga tu, mkuu hichi kizazi cha sokoni acha kutembee nacho kama lilivyo soko!
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu ujui historia yake vizur kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika ndo maan wanaume awaoi siku maan kila kitu ambacho angepata kwny ndoa anapata kwako sasa ndoa ya Nini anaona akuna jipya ndo maan kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maan imeshuka sana kwa kujirahisisha
Dunia wew hauna hurumaa
 
Hali sasa hv n ngumu unataka kutongoza tu watuzungushee weee mwaka mzima ndio mtu akubali!! Lazma walegeze mana wakikaza mwenzako analainikaa... OGOPA UMASIKINI NA NYEGE
 
Kutoa ngono ili undelee kupewa pesa ndio kichocheo cha kuwekwa na Mimba juu.

Ila ukifanya ngono mala moja moja kupunguza nyege utakua safe.
 
Na siku hizi wanawake hawataki tena kujishughulisha akija getho akiona kitanda cha 5x6 na subufer ma ndoo 2 za maji na ki tv cha inchi 23 ukutani anahamia kabisa tayari anajua maisha kayapatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu hujui historia yake vizuri, kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika.

Ndio maana wanaume hawaoi siku hizi maana kila kitu ambacho angepata kwenye ndoa anapata kwako, sasa ndoa ya Nini anaona hakuna jipya ndio maana kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha. Wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maana imeshuka sana kwa kujirahisisha.
Uko sahihi ...thou unge share status yako km umeshaolewa or still single ili tupime ww km ww akili yako iko vp
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu hujui historia yake vizuri, kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika.

Ndio maana wanaume hawaoi siku hizi maana kila kitu ambacho angepata kwenye ndoa anapata kwako, sasa ndoa ya Nini anaona hakuna jipya ndio maana kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha. Wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maana imeshuka sana kwa kujirahisisha.
Na wakiachwa wanahaha kuingia mitandaoni ama mtaani kutafuta mwanamme zwazwa wa kumbebesha jukumu la kulea mtoto wa kibaka aliyezaa naye na kutekelezwa. Wanawake mjipange, kwa kweli mnaboa sana.
 
Kesho jitahidi ulete uzi mwingine wa kwa nini wanawake hawataki kudumu kwenye ndoa ama sababu ya ongezeko la gest bubu
 
Back
Top Bottom