Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

chinkychinky

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
18
Reaction score
170
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu hujui historia yake vizuri, kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika.

Ndio maana wanaume hawaoi siku hizi maana kila kitu ambacho angepata kwenye ndoa anapata kwako, sasa ndoa ya Nini anaona hakuna jipya ndio maana kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha.

Wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maana imeshuka sana kwa kujirahisisha.
 
Wengine wanakuwa wamependa kweli, sasa kama ameaminishwa hivyo atajua mawazo ya mwenzake!? Kosa ni la wanaume, ndoa siyo tendo la ndoa pekee au kuzaa tu, kuna mambo mengi yenye kuleta ustawi na heshima kwa jamii. Vijana oaneni, wazazi wetu nao wangefanya kama baadhi yenu mngekuwa machokoraa!
 
Wamechagua kupiga kazi ya kitandani maana ndiyo rahisi.

Just assume umetafuta kazi kwa bidii miaka mitano mfululizo haupati...

Bahati unaipata kwa mhindi malipo laki 2 na nusu kwa mwezi na kazi unafokewa na kunock off saa 12 jioni.

Mwisho unafukuzwa ndani ya miezi.

Unakuja kukutana na mkaka ana IST anakutongoza...anakurushia kaelfu 50 kwa siku hiyo moja. Anakutoa out na mwanao anakununulia kiepe yai na soda ya mwanao.

Kesho tena anafanya hivyo hivyo....unaenda kwake unakuta anaishi mwenyewe ana kachumba na kasebule..TV nch 21 bufa....na walau ana jiko la gesi hautapikia tena kuni.

Kwanini asiikubali kazi ya kitandani mkuu??? Ya dakika 2 tu tena wanaume wa siku hizi hata hatusimamii show saana. Dakika 1 mdada wa watu kapumzika.
 
Kuna profesa mmoja mwanamke alisema wanawake mngekuwa na umoja wanaume tusingewasumbua. Maana leo wewe utaninyima mbunye ila kesho rafiki yako ananipa mbunye na ukijua nimepewa na wewe tena utataka unipe ili umkomoe rafiki yako

Kwa vile sisi tumeumbwa na roho ya huruma na upendo na sio wachoyo tunakula tu
 
Kuna profesa mmoja mwanamke alisema wanawake mngekuwa na umoja wanaume tusingewasumbua. Maana leo wewe utaninyima mbunye ila kesho rafiki yako ananipa mbunye na ukijua nimepewa na wewe tena utataka unipe ili umkomoe rafiki yako

Kwa vile sisi tuneumbwa na roho ya huruma na upendo na sio wachoyo tunakula tu
Ndo maan dunia inanuka zinaa
 
Sasa kama una nia ya kumpa yanini uanze kujichelewesha mwsho wa siku amfate ke mwingine uanze kusema ungejua ungemkumkubalia mapema.
 
Ni Jambo jema na umezungumza point nzur San hongera ,wanawake na mabinti zibgatieni hili


N.b Ndoa ni muhimu Sana vijana wenzangu
 
Acha Tuwachape Nao Mkuu!! Wivu wa Nin!!!!
 
Hahaha....sasa ungemvuta kabisa angekushukuru hadi kufa kwako.

Maisha magumu tupunguziane umaskini.
kumvuta demu wa uswazi inahitaji moyo japo mimi wa uswazi ila hawa wenzangu kuwavuta tupunguziane umaskini hapana.

nimewahi mpa mwingine 20,000 akaenda mwambia mwenzake siku moja tunaonana anasema alafu flani ulimpa 20 nikamwambia nawe uijie zilipigwa simu siku iyo hadi sio vzr.

ogopa sana umaskini na nyege
 
Bandiko zuri
Naona Shida kubwa ni Ngono,

Ngono inapewa kipaumbele sana siku hizi tena wazi wazi yani si wanawake si wanaume, Wote wameongeza mapenzi ya kugonoka

Hata humu ukiskia mtu anasema "nipe namba yake " unadhan anatania ?
 
Yanini kufuga ng'ombe kwa ajiili ya maziwa wakati una uwezo wa kununua maziwa?
 
Back
Top Bottom