Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

Siku hizi si nasikia ukiwa single maza na una kazi/biashara yako ya kukuingizia laki 5 hlf ukapata passo yako ya million 6 basi ndo umekuwa strong woman yaani ndo umekuwa super woman kamili.Kama hujaachika vigezo unakosa basi inabidi uanzishe kamgogoro ili uonekane ulikuwa unateswa na mumeo ili mkiachana mtoto umlee mwenyewe ionekane mmetelekezwa wote

Huko istagram ni vurugu tu bio imeandika my maza my everything mara inaandika blessed mom,gifted mom huko whatsup status ni picha ya mtoto,mama ake na bibi mtoto tu katuuu hukuti picha ya baba mtoto wala baba ake mzazi yaani Ni vita tu.Super woman hana hata mapenzi na baba ake mzazi birthday zinapostiwa za mama tu.Kwanza suoer woman gani unampenda baba ako

Kwahiyo siku hizi usingle maza ni wakutafuta kabisa ili vigezo vitimie vya kuwa super woman

Ila wanwake zetu mnakuwaga na vichaa sometimes yaani mtu anaolewa anajiandaa kabisa kuachana akiwa kwenye ndoa ili awe strong woman

Nyie wenzetu si mpo kwenye battle kwamba alifanya mwnaume na nyie mnawaza kwmaba hata nyie umalaya mnauweza km sisi.Sawa haina shida
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu ujui historia yake vizur kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika ndo maan wanaume awaoi siku maan kila kitu ambacho angepata kwny ndoa anapata kwako sasa ndoa ya Nini anaona akuna jipya ndo maan kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maan imeshuka sana kwa kujirahisisha
Sio kweli, ukweli ni kwamba, Wanawake hawaheshimu WANAUME ndio maana wanaachwa, Kwani WANAUME wanahitaji Heshima, Kutokusumbuliwa, na Mwanamke ambaye atakua naye wakati wa jua na mvua.
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu ujui historia yake vizur kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika ndo maan wanaume awaoi siku maan kila kitu ambacho angepata kwny ndoa anapata kwako sasa ndoa ya Nini anaona akuna jipya ndo maan kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maan imeshuka sana kwa kujirahisisha
Sema kuolewa nayo ni bahati tu

Unaweza kutuliza 'Kei' yako ukajikuta unakufa na utamu wako
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi, awali watoto walifundwa na kupewa elimu kuhusu mahusiano!! Lakni pia utandawazi umekuja kuharibu mambo mengi sana! Kwamba tumeacha mila na tamaduni zetu zilizokuwa nzuri na kuiga kila kitu kutoka mataifa ya magharibi na kwingineko duniani! Hivyo tusiwalaumu sana dada/kaka zetu bali mfumo wa maisha umebadilika!!
 
It sad to be ignorant & foolish at the same time; it is even extremely sad to be intelligent & foolish at the same time. Watu wengi wanaofanya hayo majanga wako kwenye kategori ya kuwa both wickedly SMART & FOOLISH kwa wakati mmoja. They are purposeless and good-for-nothing.
 
Kuna profesa mmoja mwanamke alisema wanawake mngekuwa na umoja wanaume tusingewasumbua. Maana leo wewe utaninyima mbunye ila kesho rafiki yako ananipa mbunye na ukijua nimepewa na wewe tena utataka unipe ili umkomoe rafiki yako

Kwa vile sisi tuneumbwa na roho ya huruma na upendo na sio wachoyo tunakula tu

Nimecheka Sana ..tumeumbwa na roho ya Nini daah !!!
 
Sema kuolewa nayo ni bahati tu

Unaweza kutuliza 'Kei' yako ukajikuta unakufa na utamu wako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kishenzi naona umenifungulia zawad ya boxing day Asante Sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kishenzi naona umenifungulia zawad ya boxing day Asante Sana
You are welcome ☺😊

Enjoy hiyo zawadi 🤣
 
It sad to be ignorant & foolish at the same time; it is even extremely sad to be intelligent & foolish at the same time. Watu wengi wanaofanya hayo majanga wako kwenye kategori ya kuwa both wickedly SMART & FOOLISH kwa wakati mmoja. They are purposeless and good-for-nothing.
Zamani..ITV Kuna mwimbo wa mdada qaki kenya..Uliitwa Good for nothing.... Ulipigwa Sana jioni
Mimi na Mdogo Wangu Zubeda... Tuliupenda Sana...
 
kumvuta demu wa uswazi inahitaji moyo japo mimi wa uswazi ila hawa wenzangu kuwavuta tupunguziane umaskini hapana.

nimewahi mpa mwingine 20,000 akaenda mwambia mwenzake siku moja tunaonana anasema alafu flani ulimpa 20 nikamwambia nawe uijie zilipigwa simu siku iyo hadi sio vzr.

ogopa sana umaskini na nyege
Braza, wale sio Nyege. Ni Umasikini tu, Umasikini mbaya mno ndugu yangu. Tuendelee kusapotiana tu kwa kadir tuwezavyo
 
Back
Top Bottom