Ndesamburo is a man of the people

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Nimeguswa na huyu mzee kwa kweli huduma yake ni ya kimungu.
Mungu amzidishie hii cooporate responsibility yake ni zaidi, ina utu mkubwa ndani yake zaidi.

Wito
Viongozi wetu igeni mfano, ukianza safari ya loliondo beba na jirani zako wawili ndani ya gari yako, na mungu akubariki sana...
Utakuwa umeokoa uhai wa watanzania wasio na uwezo wakufika kwa babu na utakuwa ni shujaa, mkombozi na mtu wa kuheshimika
 
Ndesamburo, kipenzi cha watu. wakati naoa mwaka 1982 alini "surprise" kwa mbuzi sita.
 
Na mie harusini mbwa wawili wamenona pale iringa mjini;; huyu kweli mtu wa mungu
 
Kafanya nini jamani mbunge wetu mbona sijawapata hapo?

Kajitolea usafiri wa kupeleka wagonjwa kwa babu bure , nani mwenye roho hiyo ?Na isue kwenda kwa babu ni usafiri matibabu ni almost bure"jero tu"source mwananchi ya leo .
 
...Wapo bana. aliyekuwa Mbunge wa musoma mjini Fortunas Manyenye amejitolea kugharimia usafiri wa kwenda na kurudi Samunge kwa babu watu 130..wanatakiwa kujitegemea chakula na hiyo tiba (500/=) kuna mbunge mwingine Wilaya ya serengeti amejitolea usafiri bure kwenda na kurudi fuso mbili...Kwa hiyo sio Ndesa pekee mwenye kusaidia watu....:ballchain:
 
Lyatonga alienda peke yake.
 
Nimefurahi kusikia kunawengi wanajitolea mungu awabariki wote wenye moyo huo. Mbunge wako wewe kaenda nanani?
 
Nimeguswa na huyu mzee kwa kweli huduma yake ni ya kimungu.
Mungu amzidishie hii cooporate responsibility yake ni zaidi, ina utu mkubwa ndani yake zaidi.

Wito
Viongozi wetu igeni mfano, ukianza safari ya loliondo beba na jirani zako wawili ndani ya gari yako, na mungu akubariki sana...
Utakuwa umeokoa uhai wa watanzania wasio na uwezo wakufika kwa babu na utakuwa ni shujaa, mkombozi na mtu wa kuheshimika

Hii dawa ni chanjo kwamba lazima kila mtanzania anywe hata kama haumwi? Utabebaje majirani kama hawaumwi? Kwenye gazeti inaonekana wanaaomba kusafirishwa wanaonyesha vitambulisho vya mpiga kura, hii si rushwa ya 2015?
 
Nimefurahi kusikia kunawengi wanajitolea mungu awabariki wote wenye moyo huo. Mbunge wako wewe kaenda nanani?
...Jana nilikuwa namsubiria pale Blue Pearl hotel akitoka nimuulize kama ana mpango wa kwenda kwa babu sikumuona. Sasa sijui kama ameamua kujiwahi yeye kwanza then sie tuliompa kura ili apate kula ndio baadaye sifahamu kwa kweli. Maana nilisikia wabunge wengi hawako kwenye hiyo semina elekezi inasemekana wako kwa babu kupata kikombe.......
 
Si mbaya kwani hatoweza kusafirisha Tanzania nzima. Angalau wale waliompa kura anawarudishia kiasi
 
Kakuacha huyo!
 
Si mbaya kwani hatoweza kusafirisha Tanzania nzima. Angalau wale waliompa kura anawarudishia kiasi

Si chanjo, jirani yako katika la liondo ni mtu yeyotemhitaji wa huduma hii utakaye weza kumsaidia kupata huduma kirahisi kwa babu.
 
Nimefurahi kusikia kunawengi wanajitolea mungu awabariki wote wenye moyo huo. Mbunge wako wewe kaenda nanani?

Mbunge wangu ni Makinda, sijui post yake inambana asiende? Maana angesaidia wengine toka kwetu kule Njombe, ni parefu sana kwa mpiga kura wake aende kwa babu. Ila sijui kama kisha peleka au kaenda au kama hahitaji huduma ya babu.
 
Tena njombe afanye akawakusanye muwahi tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom