mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
kadhi mahakama ya nini?wewe Topical
kadhi mahakama ya nini?wewe Topical
Keys hotel ni "Bar"?waislam walikubali kukutana na huyu mzee kwenye "Bar" ya keys,hicho sio kikao haramu kwa mujibu wa dini ya kiislam?wataalam wa dini ya kiislam tunaomba ufafanuzi kwenu,je ni sawa kwa waislaam kukutana Bar kunakouzwa pombe?
waislam walikubali kukutana na huyu mzee kwenye "Bar" ya keys,hicho sio kikao haramu kwa mujibu wa dini ya kiislam?wataalam wa dini ya kiislam tunaomba ufafanuzi kwenu,je ni sawa kwa waislaam kukutana Bar kunakouzwa pombe?
Anayekubali mnamlalamikia, anayepinga mnamlalamikia. Full malalamiko, kazi kulalamika...
Amesema haoni sababu ya serikali kukataa kuanzishwa kw amahakama ya kadhi kikatiba na kutengewa pesa na serikali; kwani serikali inatenga fedha nyingi kwa mambo ya kisiasa na kusahau mambo yanayogusa jamii ya kiislam Tanzania; ili kuepusha kutokuelewana katika jamii..
Aitaka serikali kutenda haki dhidi ya waumini waislam na kuandaa bajeti kwa ajili ya mahakama ya kadhi kama ambavyo inatoa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa..
Serikali haina dini.
Mahakama ya kadhi ni chombo cha dini.
Itatumia sharia, hata kama zitapingana na za nchi.
Waislamu wazianzishe huko huko misikitini kwa gharama za misikiti yao. Mimi leo nikidai mahakama za kiukoo, tugawane urithi kiukoo. tumnyang'anye mjane na watoto wake mali walizoachiwa kwa sababu kiukoo ni halali , serikali igharimie/ Na kama mwislamu mwingine atazikataa kesi yake kuendeshewa kwenye hiyo mahakama ya waislamu, hiyo mahakama itakuwa na faida gani. Ndipo utasikia kuanzia sasa waislamu hawatafanya kazi Ijumaa, kwa namna hiyo kutakuwa na confusions.

Huwezi kulinganisha uislamu na kabila lako, acha uzembe katika kujielimisha..
Uislam ni zaidi ya kabila, mkoa au kanda..
huyu hakuhudhuria Mkutano wa CDU Na mbowe nini? Hongera sana, najua Makanisa yatataka ufukuzwe chadema
huyu mbunge kajisomesha mwenyewe na hakusoma shule ya Kanisa, ubaya wa chadema wengi wamesomeshwa na MOU na shule za makanisa, wakijazwa uPofu tu eti tuwakandamize waislam. ndio watu wakija na mawazo mazuri wnashangaa.
dini ipo labda sema dini anayotaka ndesa ni mzigo kwa chadema tu
sitaki mahakama ya kadhi, hakuna taifa la waislamu hapa kuna taifa la Tanganyika tu.