Ndele; faida na madhara yake

Ndele; faida na madhara yake

Mkuu huwezi andaa zana then nielekeze jinsi ya kuchanganya nikachanganyie kule kule? Natumaini zana sio zinaweza kuvuka bila tatizo. Sheleli za kuvushia zana zipo mkuu
Inawezekana kabisa
 
Sasa mbona umekaa kichawichawi mkuu mabandiko yako mengi mkuu yamejaa harufu ya kuzimu ukiacha machache ya siasa
4e2f75f22ac715a4ea216d8af774b487.jpg
 
Kama uchawi ungekuwa kweli maisha yangekuwa rahisi sana.
Kwa bahati mbaya ni nadharia zilizofanyiwa sugarcoating.
Hata pesa kama ingeokotwa barabarani maisha ingekuwa ni kula bata daily au wokovu ingekuwa ni kwenda kanisani kila kaya isingekosa mlokole! Au mapenzi yangekuwa rahisi kama tunavyodhani Leo kusingekuwa na talaka....itoshe tu kusema tusiwe wepesi wa kudhihaki na kuponda Dunia ina mengi ambayo hatuyajui
 
mshana jr;
Pamoja na mengi unayo andikaga humu kuuhusu uchawi naamini kuwa weye si mchawi. Wewe ni wa kule kwetu na ninavyo wafaham ninyi "Wa-shana" hamkujaliwa saana hayo makitu. Ila kwa usomi wako na interest zako ukayajifunza hayo makitu. Sasa, naomba kuuliza mawili matatu:
Yawezekana mtu akapata hiyo ndele badala ya yeye kuhonga fweza akahongwa yeye?? Maana umesema kuwa, wake za watu watakuwa wangu?
Yawezekana ukaridhi ukware huo kwa babako? Kwani wengine tuliyasikia walotenda baba zetu na sasa tunaona yakitimia kwetu leo?? Je, tuliridhi hiyo ndele??
Ikiisha nguvu utalia. Je, nguvu humalizwa na nini na nini dalili? Je nguvu hukaa nawe mda gani?
Ni hayo tu mshana jr
Kila kilichopo kwenye ulimwengu halisi kina replica kwenye ulimwengu wa kiza/kiroho
Vyenye guarantee ya mwezi kule pia vipo mwezi mmoja miezi au hata mwaka
 
Watanzania wanavyopenda kusikia visa hivi vya kufikirika basi hapa MshanaJr umewakamata kisawasawa.

Hapa kinachotokea washabiki wako nao wanaenda kusimulia watu wengine huko nyumbani kwao basi jamii nzima inazidi kuamini kwenye hivi visa visivyonauthibitisho.
Mwelewa,uchawi upo,
 
Mkufu wa mvuto (ndele) toleo jipya! Unconditionally
1b8626365ac3b82c44d9cb02460791d1.jpg
 
Nakumbuka tanga pia kuna dogo alikuwa nayo hiyo acha alikuwa anatembea na mademu wa kila aina mpk anawakimbia.....si mchezo haya makitu
 
Back
Top Bottom