Ndele; faida na madhara yake

Ndele; faida na madhara yake

Watanzania wanavyopenda kusikia visa hivi vya kufikirika basi hapa MshanaJr umewakamata kisawasawa.

Hapa kinachotokea washabiki wako nao wanaenda kusimulia watu wengine huko nyumbani kwao basi jamii nzima inazidi kuamini kwenye hivi visa visivyonauthibitisho.
Heshimu hisia na mitazamo ya wengine Mwelewa, reply yako haiwezi kubadili kamwe ukweli na uhalisia wa kile nilichoandika! Waheshimu watanzania ni watu na werevu na wastahamilivu sana ndio maana unaweza kuandika uandikayo na bado ukabaki salama
 
Heshimu hisia na mitazamo ya wengine Mwelewa, reply yako haiwezi kubadili kamwe ukweli na uhalisia wa kile nilichoandika! Waheshimu watanzania ni watu na werevu na wastahamilivu sana ndio maana unaweza kuandika uandikayo na bado ukabaki salama
OK hakuna tatizo.....namimi nilikuwa nafikisha maoni yangu wala si kwa jazba
 
Ndele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.
we itabdi uwe msaidizi wa mshana
 
Oooh kumbe ndo maana ..................... ! Sikujua aisee, mi nilijua nyota tu kuuuumbe kuna siri kubwa ndani yake! maana wengine majina yao kabisa hayo origin from kuzaliwa! Dah.....aiseeee!

cc: mshana jr
 
mshana jr;
Pamoja na mengi unayo andikaga humu kuuhusu uchawi naamini kuwa weye si mchawi. Wewe ni wa kule kwetu na ninavyo wafaham ninyi "Wa-shana" hamkujaliwa saana hayo makitu. Ila kwa usomi wako na interest zako ukayajifunza hayo makitu. Sasa, naomba kuuliza mawili matatu:
Yawezekana mtu akapata hiyo ndele badala ya yeye kuhonga fweza akahongwa yeye?? Maana umesema kuwa, wake za watu watakuwa wangu?
Yawezekana ukaridhi ukware huo kwa babako? Kwani wengine tuliyasikia walotenda baba zetu na sasa tunaona yakitimia kwetu leo?? Je, tuliridhi hiyo ndele??
Ikiisha nguvu utalia. Je, nguvu humalizwa na nini na nini dalili? Je nguvu hukaa nawe mda gani?
Ni hayo tu mshana jr
 
Ndele haivuki bahari fimbo ya mbali haiui nyoka uchawi wa Beyonce na Minaj ni sheleli una bei gani kibindoni?

Mkuu huwezi andaa zana then nielekeze jinsi ya kuchanganya nikachanganyie kule kule? Natumaini zana sio zinaweza kuvuka bila tatizo. Sheleli za kuvushia zana zipo mkuu
 
Ndele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.
Dah hiyo ya mshumaa umenikumbusha mbaaali 2004 kushuka chini,

Kuna jamaa huku kitaa karithi uganga lkn uganga wke ni mzr wa kutibu na cyo wa kishirikina..mtu wa Tanga naye

Kwakuwa umri wke ni 20s na rafiki yetu ,kuna rafiki yetu alikuwa anamfukuzia demu Fulani hv wa kipemba sasa tukamfuata yule jamaa yetu mtaalamu afanikishe zoezi,yule dogo akschukua mshumaa akauwasha akachukua majina ya yule demu akayaandika na akachukua sindano akauchomeka kwenye mshumaa huwezi amini yule demu saa nne usiku katoka kwao kamfuata yule rafiki yetu ambaye alikuwa anamfukuzia halafu ukizingatia yule demu kwao geti kali

Jamaa alipagawa maana ingekuwa kesi ,yule mganga akafanya mambo yke alizima mshumaa akatoa sindano nk mambo yakawa fresh

Back 2004 nikikumbuka dah kuna nyingine ya maji unaoga ukienda kwa demu ukimsalimia kwa mikono basi wako

Kuna jamaa alikuwa na kidaftari chake kaandika njia kibao Sema alikuwa mchoyo vby
 
Kama uchawi ungekuwa kweli maisha yangekuwa rahisi sana.
Kwa bahati mbaya ni nadharia zilizofanyiwa sugarcoating.
 
Back
Top Bottom