Ndele; faida na madhara yake

Ndele; faida na madhara yake

bi kilembwe anaepatikana hapa newala mtaa unaoitwa GININGI anao unga wa ndele pm nikuunhanishe nae
 
79ff49f663760499549e685012da7785.jpg
Hii mada ni zao la ile post ya ufahamu uchawi wa kisambaa...interest kubwa imekuwa kwenye kipengele cha NDELE, sasa badala ya kujibu maswali kwenye forum na pm , pitia hapa upate full version
Kwanza ieleweke wazi kuwa NDELE si kwa wanawake bali ni kwa wanaume hasa wale madomo zege na wale ambao fani yao kubwa na hobby ni CHUBWI CHUBWI, wazee wa chupi, wazee wa kutokwa na denda wakiona gauni, wale ndugu zangu ambao ukimpa milioni inafika lakini sio jinsia pinzani
Hiki kitu si cha leo jana wala karne iliyopita, kina historia ya vizazi na vizazi! Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na masuria(michepuko)600! Acha kabisa hiki kifaa Mswati anadipu
Tamaa ya ngono kaumbiwa mwanaume ni jambo la kiasili mno mpaka kwa wanyama, ni katika harakati hizi za kutaka kupendwa na wanawake wengi ama mwanamke yeyote utakayemtaka ndio wataalam wa sayansi mbadala wakaja na ufumbuzi wa ndele kule Tanga (kumbuka mapenzi yalizaliwa Tanga )lakini hii ilikuwa nyakati hizo enzi hizo, ambapo hesabu ya wanawake na wanaume ilikaribiana kufanana kabisa!
Leo hii tuko kwenye ulimwengu mwingine kabisa, pengo kati ya hizi jinsia mbili ni kubwa mno, wanawake ni wengi kuliko wanaume! Ndele haina nafasi tena, siku hizi silaha SHEKELI siku hizi huangaliwi wewe ni nani bali una bei gani kibindoni
NDELE ina madhara mengi, Kwanza wapigaji ni wengi unaweza kupigwa pesa na usiipate ndele lakini ukibahatika kumpata mkweli na akakutengeneza tegemea haya yafuatayo
-wake za watu watakuwa wako
-wafanyakazi wa ndani
-kina mwajuma ndalandefu n the like
-wafupi wanene wembamba weusi wembamba wote wall
-wenye gundu wenye Mali wenye kimavi wenye bahati NDELE haibagui
Utachoka wewe...utawakimbia...itakuwa kero LAKINI mwisho wa siku NDELE ikiisha nguvu nyota yako ya NGEKEWA! nyota yako ya KUPAPATIKIWA na kila gauni, nyota yako ya kupendwa ikafa utajuza kuzaliwa....utakataliwa mpaka na CHANGUDOA
kama bado unataka ndele chukua muda kufikiri mara nyingi kabla hujachukua maamuzi
NB: faida ya ndele ni sifa ya kuwa kiwembe kuliko TOPAZ
Je kuna ndele ya biashara ?aka ndele ya mvuto wa biashara?
 
Ndele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.
Wewe ni mchawi umejuajehiyo ndele kazi zake?
 
Mimi ninaiagiza ngekewa na Mvuto nitaletewa na utanifahamisha namna ya kuitengeneza kwa mvuto na biashara. Na je siwezi kutumia Ngekewa na Mpendwa kwa ajili ya kupendwa na watu?
Inawezekana pia kwakuwa unang'arisha nyota.... Ila utapendwa na mpaka usiowapenda
 
Back
Top Bottom