Ndetimakete
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 402
- 306
Ni kweli kabisa mshana jr aiseee dunia ina mengi tusiyoyajua ...na mengi tulimezeshwa uongo...Hata pesa kama ingeokotwa barabarani maisha ingekuwa ni kula bata daily au wokovu ingekuwa ni kwenda kanisani kila kaya isingekosa mlokole! Au mapenzi yangekuwa rahisi kama tunavyodhani Leo kusingekuwa na talaka....itoshe tu kusema tusiwe wepesi wa kudhihaki na kuponda Dunia ina mengi ambayo hatuyajui


