Ndele; faida na madhara yake

Ndele; faida na madhara yake

.
images%2854%29.jpeg


Jr
 
Daaah.xema vtu hvi ilikuw zaman xahvi mbwembwe tuu za wanamazngambwe
 
Nyakati hizi za magonjwa yasiyo na tiba kuchanjwa ndele ni sawa na kutafuta kufupisha maisha yako
 
Ndele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.
Ya kweli hii?
 
Siku hizi ngumu, nyingi zimebaki story.... Bingwa wangu kazima mwaka jana... Alikuwa na maarifa mengi lakini mbinafsi
Mkuu kwa hiyo ndo haiwezekani tena kuipata ndele?.….nna shida nayo sana mkuu....

Tuwasiliane tafadhali
 
Back
Top Bottom