Nauza ndele bei nafuu, sawa na bure[emoji1]mshana eb ngoja uwa naskia kuna ndele mwanamke anachanjiwa sijui kwenye bibi au chini apa kinenani ni kweli au ni maneno uwa naskia habari nyingi kuhusu ndele
[emoji15] [emoji15] [emoji15] wataalam kila konaNdele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.[emoji1] [emoji1]
kumbeHilo ni limbwata sio ndele
Kuna demu mmoja nilikuwa namtaka humu JF nikatumia ndele nikampata[emoji1][emoji15] [emoji15] [emoji15] wataalam kila kona
ha ha haNdele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.[emoji1] [emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28]Nauza ndele bei nafuu, sawa na bure[emoji1]
Ndio ndele hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Mbona ipo kama hirizi kwahyo unatembea nayo au[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]