Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

USA anamkwara ya mbwa koko ambaye anaishia kubweka tu na kuparua ardhi makucha lakn hawezi kukusigerea kukung'ata..

Kama USA anahisi anauwezo wa kumpiga n.k na yeye akabaki salama basi hizo ndege azirushe kwenye anga ya north Korea au ajitoe ufaham arushe kombora moja tu . hapo ndio ntaamini kuwa kweli USA na trump ni mwanaume
Mkuu huoni kwamba marekani anajiandaa kwa vita! Angewezaje shambulia wakati hata mafuta ya kufeed vifaa vyake yalikuwa hayajafika
 
Ukiangalia kwa karibu marekani hana mandate ya kuvamia nchi ingine passipo idhini ya UN. Itakua imetumia vibaya nguvu zake kijeshi na hata nchi washirika wanasita kwa sababu hiyo.

Pili kuna suala la malipo ya uharibifu wa kivita, anayekuwa wa kwanza kutupa risasi ama kombora ndio aliyeanzisha vita hivyo gharama zote za vita hiyo atazilipa hata kama kashindwa vita hiyo.
Hili la pili ndio marekani analikwepa anafanya mazoezi, pitisha ndege, meli ili jamaa apige iwe sababu.

North Korea akipiga kombora wa kwanza hata waashirika wa marekani wanapata sababu ya kushuriki kwa kigezo mshirika wao kashambuliwa.

Hivyo hii vita itaanza tu pale NK utatupa kombora lake. Kuanzisha vita kwa ridhaa ya security council haiwekani maana Urusi na China wanaveto.

Tusibiri kitakachojiri

Mkuu kama Amerika hiko determined kuanzisha vita ina mbinu nyingi za kumsingizia Kim kwamba ndiye kalianzisha, kusita sita kwao si bure wanajua wanaweza kuanzisha vita lakini hawana uwezo wa kutabiri nini kitatokea mbele ya safari na hawana uwezo wa kuvisitisha akisha vianzisha.

Hivi sasa Mataifa yanayo jifanya yapo karibu na Marekani vita ikimwendea vibaya USA nao watamgehuka kulipiza kisasi cha nchi zao kuharibiwa na Amerika during WW2 - Mataifa kama Japan,Ujerumani wata ungana na maadui wa Amerika.
 
Ukweli ni kwamba USA atafanya kosa kubwa kuliko yote aliyowahi kufanya endapo ataishambulia NK. Kwa ujumla hiyo vita haitakuwa ndogo kwa maana ya kupata mshindi lakini madhara yake ni makubwa haijapata kutokea.
 
Sijui kwanini wanagwaya kuingiza ndege anga la korea kaskazini,maana kim hana cha S-300 lakini miaka yote tangu korea aitungue ndege ya marekani juu ya anga lake ikiwa na askari 40 hawataki kabisa kukatiza
 
Sijui kwanini wanagwaya kuingiza ndege anga la korea kaskazini,maana kim hana cha S-300 lakini miaka yote tangu korea aitungue ndege ya marekani juu ya anga lake ikiwa na askari 40 hawataki kabisa kukatiza
 
Duh kuna watu wana mahaba humu ndani ila wengine tukisema sema tunaonekanaga washabiki sana..... Et mtu anasema Japan na Ujerumani waungane wampige America[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... KWELI?!
Hao Japan wenyewe wanamtegemea USA kuwalinda huko Ujeruman Markel aliomba Marekani apeleke silaha za nyuklia mwaka juz Marekani akazipeleka ikiwemo yale mabomu B61 Russia alilalama lkn hakuna kitu amefanya kapiga kimya.

Et mara ooooh Kim ataichakaza Japan na South Korea, hv nyie mnaichukuliaje Japan?! Muulzen mchina anamtambua huyu jamaa. Mara oooh Seoul itkua majivu, hao Seoul watkua wamekaa tu Kim kardashian anawageuza majivu?!

Me nawaambia hv hii vita ikianza huyo Kim kardashian kwa 60% hawez kutumia hzo nyuklia maana akitumia dhid ya Seoul au Japan bhas hakutakua tena na nchi inayoitwa Nkorea jinsi ambavyo Marekani ataichakaza kwa mabomu ya nyuklia na hakutakua wa kumzuia US si Urusi au China.Maana kombora la minuteman toka Marekani mpk Pyongyang si chini ya dk.30 kashaizika ile nchi.
 
Sijui kwanini wanagwaya kuingiza ndege anga la korea kaskazini,maana kim hana cha S-300 lakini miaka yote tangu korea aitungue ndege ya marekani juu ya anga lake ikiwa na askari 40 hawataki kabisa kukatiza
Mbn Turkey alidungua ya Russia bhana.

Half fatilia vzuri baada ya hyo ndege kudunguliwa jinsi vile ambavyo USSR ilikua na wasiwasi wa Marekani kuivamia kijeshi NK maana marekani alikua kaamishia meli zake zote za kivita hapo, tushukuru tu yule rais wa kipind kile hakua kichaa km huyu wa sasa.
Fatilia vzr uone jins USSR walivyolaani hilo tukio kwa nguvu na kuitisha vikao Mara moja kama jinsi ambavyo ilivyotokea kwa Turkey kuidungua ndege ya Russia NATO walivyoitisha mkutano ghafla walijua russia angejibu sema akaamua kukausha.
 
Hazole 1 Ukiandika kitu toa maelezo ya kueleweka. Ndege za kuangusha mabomu una maana gani?
 
Thubutu! Mapanki hajaribiwi wala huwa hazungumzi! Utasikia NK wanazungumza wengine tu! Yeye Mapanki siyo mtu wa vyombo vya habari! Ni mtu wa amri tu! Marekani wanamjua vizuri kwa hiyo hawawezi kufanya kosa LA kuingia kwenye anga ya Korea kaskazini, vinginevyo ni kiyama kwa Korea ya kusini na marekani mwenyewe!
USA anamkwara ya mbwa koko ambaye anaishia kubweka tu na kuparua ardhi makucha lakn hawezi kukusigerea kukung'ata..

Kama USA anahisi anauwezo wa kumpiga n.k na yeye akabaki salama basi hizo ndege azirushe kwenye anga ya north Korea au ajitoe ufaham arushe kombora moja tu . hapo ndio ntaamini kuwa kweli USA na trump ni mwanaume
Sawa bwana!!
Ukinipiga umenionea!!!!
Ukiniacha umeniogopa.
 
Mpaka sasa nimegundua marekani kuna kitu anaogopa kwa man kiduku sio bure
 
Mpaka sasa nimegundua marekani kuna kitu anaogopa kwa man kiduku sio bure
Unaijua "shock and awe"
Kajifunze kwa collin Powell.

Kwa pembeni namuona mzee Donald Rumsfield.
Patamu hapo!!!
Zama hizooooo
 
Mkuu huu mwaka wa 16 bado wanapelekwa puta na Wateliban huko Afghanistani,leo hii ndiyo watake kuitambia Korea Kasikazini? Labda watumie mabom ya nuclear lakini na wao wakae wakijua watapata madhara makubwa sana sana ambayo hawajawahi kukumbana nayo katika historia yao ya kuvamia vamia mataifa mengine masikini, wakumbuke KK si kama Libya, Afghanistan, Iraq, Yugoslavia ya zamani na Syria - Wakifanya makosa ya kuivamia/piga mabom KK basi Korea Kusini na Japan watachakazwa kweli kweli.

Kitu kingine ambacho ni muhimu, Amerika inapaswa kukumbuka kwamba vita ikipamba moto Uchina na Urusi zitamsaidia Kim kwa hali na mali hawataruhusu Amerika/NATO kusogeza wanajeshi au kuikalia KK kwa nguvu - wataingia vitani liwalo liwe, sasa kama Amerika itahamua kufungua a pandora BOX sisi yetu macho - I hope Trump atakuwa wiser zaidi ata-stick kumaliza mgogoro huu kwa njia ya kidiplomasia.
Hufahamu mambo...marekani anafaidika na unstable situation ya afghanistan na nchi zote ambazo kawai ingia ,iraq etc,.ndomana unaona vita haiishi kule,..Isis ni zao la CIA,kuleta vurugu tuu kule,kuna ajenda kubwa zaidi ambayo huifaham kuhusu uwepo wa marekan kwenye hzo inchi na y hatak toka..so usiseme et wa taleban wanamsumbua had leo,..watu wameweza ku fake 11/9 waingie kusambatatisha mataifa ya kiarabu sembuse kufake uwepo wao middle east..mambo ya ndan sana haya nakupa
 
Nawashangaa sana watu wanao i underestimate japan,hivi mnajua wajapan walikua tishio dunian,walikua na technologia za ajab na walikua hawapigiki,wana uchumi mkubwa hata mara 1000 ya n,korea,wana silaha mara100 nadhan ya n.korea,..ila japan baada ya ww2 walikua na sunctions nying kias kwamba walishauriwa akili zao wawekeze kwenye technolojia za kijani/meaning technolojia sizizohusika ma nguv za kijesh,so ndo kuja kuwekeza kwenye magar,machines,electronics etc,na ukienda japan,kama umebahatika kwenda kama mim,uta testify hili,wana level ya maisha ya marekan kabsaa,so msione japan mnyonge,unaambiwa bila lile atomic ,japan angetawala dunia,dunia nzima tungekua tunaongea kijapan na sio kingereza
 
Back
Top Bottom