Acha kuota wewe!
Acha kuota wewe!
Ni kweli bwana. Waambie hao.white wizard China haijajitoa kwenye mzozo. Leo tu imepiga biti kuhusu mmarekani kuweka makombora yake ya kujilinda na mashambulizi ya anga, tena kasisitiza atafanya chochote kuhakikisha mitambohiyo haiendelezwi. Halafu usiseme vita vya afghanstani ni vya kujichanganya na raia ndo maana mmarekani anasumbuka, kumbuka kwamba vita ni mbinu, sio kurushiana makonde kama boxing na mieleka. Ukizingatia Mmarekani hana historia ya kupigana vita na akashinda.
Mkuu Karne Fahamu ya udogo wa nchi si udhaifu wa kujeshi katika zama hizi. Zamani kweli ilikuwa jeshi lenye man power kubwa linashinda. Sasa vita inachezwa kotekote. Labda kama una udhibitisho wowote wa kuniambia kwa nini mmarekani na washirika wake wananguuvu kuizidki korea kaskazini.
Jile79 nchi peke HE in ujerumani. Mmarekani hamlii timing mkorea, bali anawaridhisha wapambe wake tu. Hivi unajua kama leo Mchina Kampiga biti mmarekani? Usiishie kuangalia vyombo vya habari vya magharibi tu na washirika wao akina ITV na Channel 10, utaambulia propanganda tu. Lakini kiukweli kuna mengi yanaendelea duniani
Mkuu kuna dude moja umelisahau C130 war ship yani huwa linatema risasi kwenye mabawa utasema ni njiwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
![]()
![]()
Hyo[emoji115] ndo B2 stealth bomber
![]()
![]()
![]()
B52 Stratoforstress
Mkuu kuna dude moja umelisahau C130 war ship yani huwa linatema risasi kwenye mabawa utasema ni njiwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yani kiduku aikome hiyo nchi mana atafanywa mboga yaye na watu wake
Mkuu kuna dude moja umelisahau C130 war ship yani huwa linatema risasi kwenye mabawa utasema ni njiwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yani kiduku aikome hiyo nchi mana atafanywa mboga yaye na watu wake
Acheni mapepe!! Mwambieni mmarekan amguse mapanki kama hajipendi!! Ndege hata tz tunazo tena mapangaboi..tatizo ni kwamba ana ubavu??![]()
![]()
![]()
Hyo[emoji115] ndo B2 stealth bomber
![]()
![]()
![]()
B52 Stratoforstress
Hahaa, hivi kweli kuna mwenye akili timamu alitegemea Marekani angekimbia Vietnam!Hivi kweli kuna watu wenye akili timamu wanategemea huyo dogo ataikalisha US na washirika wake hata akipewa backup na Russia?
NK kawatisha lini majirani zake? Nchi zooote zinafanya majaribio ya silaha zake. Taabu iko wapi hapo.Sasa mkuu vita vya afganistani utalinganisha na korea? Vita vya kupigana na adui aliyejichanganya na raia wa kawaida ni ngumu!! Kwani huwezi kumtofautisha kiurahisi lakini hii ya korea wanapigana majeshi kwa majeshi. Yaani nchi kwa nchi! Ukifuatilia sana utaona kuwa china ameshaanza kujitoa kwa korea na ndio maana hata sasa korea analalamika kuwa mikataba mingi ya kibiashara baina yao china ameanza kuivunja!! Yaani kama kweli USA ataamua kuingia vitani mapema tu korea atanyoosha mikono! Na haiwezekani miaka yote wewe ndio uwe tishio wa majirani zako wote hasa south korea na japan!!
NK hana mpango wa kuikalisha nchi yoyote, isipokuwa yuko tayari kulinda mipaka yake endapo atashambuliwaHivi kweli kuna watu wenye akili timamu wanategemea huyo dogo ataikalisha US na washirika wake hata akipewa backup na Russia?
Nawashangaa sana watu wanao i underestimate japan,hivi mnajua wajapan walikua tishio dunian,walikua na technologia za ajab na walikua hawapigiki,wana uchumi mkubwa hata mara 1000 ya n,korea,wana silaha mara100 nadhan ya n.korea,..ila japan baada ya ww2 walikua na sunctions nying kias kwamba walishauriwa akili zao wawekeze kwenye technolojia za kijani/meaning technolojia sizizohusika ma nguv za kijesh,so ndo kuja kuwekeza kwenye magar,machines,electronics etc,na ukienda japan,kama umebahatika kwenda kama mim,uta testify hili,wana level ya maisha ya marekan kabsaa,so msione japan mnyonge,unaambiwa bila lile atomic ,japan angetawala dunia,dunia nzima tungekua tunaongea kijapan na sio kingereza
Marekani walishusha Atomic Japan sio Nyuklia!
Ha ha haa...JF kweli imevamiwa...kama vile na vitoto vya chekechea! [COLOR=#0080ff][B]mhnk[/B][/COLOR], kwa nini usifuatilie tu wanayoyanndika wengine. Bila shaka uko miongoni mwa manazi wanaokashabikia hako katoto kanakonyoa panki ka NK...maandishi yenu humu yanachekesha kweli kweli.mhnk said:Marekani walishusha Atomic Japan sio Nyuklia!
[COLOR=#0000ff][B]Mbimbinho[/B][/COLOR], we acha tu...thread hii ni kichekesho kitupu, utadhani watu wamebugia pingu.Mkuu Atomic bomb ni nuclear bomb pia. Kuna aina mbili za Nuclear bombs
1. Atomic Bombs -
2. Hydrogen Bombs
Atomic bombs ndio kama zile ambazo zilidondoshwa Nagasaki na Hiroshima.
Hydrogen Bombs ndio hizi ambazo zinatengenezwa siku hizi, ambazo ni very powerful zaidi ya mara 1000 ya Atomic bombs.
[emoji23] zile sio risasi ni Flares.Mkuu kuna dude moja umelisahau C130 war ship yani huwa linatema risasi kwenye mabawa utasema ni njiwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yani kiduku aikome hiyo nchi mana atafanywa mboga yaye na watu wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haa...JF kweli imevamiwa...kama vile na vitoto vya chekechea! [COLOR=#0080ff][B]mhnk[/B][/COLOR], kwa nini usifuatilie tu wanayoyanndika wengine. Bila shaka uko miongoni mwa manazi wanaokashabikia hako katoto kanakonyoa panki ka NK...maandishi yenu humu yanachekesha kweli kweli.
[COLOR=#0000ff][B]Mbimbinho[/B][/COLOR], we acha tu...thread hii ni kichekesho kitupu, utadhani watu wamebugia pingu.
KHE!!!!!![emoji46] [emoji15] [emoji15]Marekani walishusha Atomic Japan sio Nyuklia!
Kama ukisha ziona/kuzipanda kumbe unazisikia Na kuzisoma kwenye mtandao dah! maisha hayaNimezimiss ndege za B52
Kama China ana ubavu wa kumpiga mkwala us angeanzia kwenye vile visiwa vyenye mzozo us kapiga kambi hakina mtu kusogelea halafu China anatolewa kamasi kwa Taiwan tuu (Kama una just China Na Taiwan Kuna Nini umeelewa)white wizard China haijajitoa kwenye mzozo. Leo tu imepiga biti kuhusu mmarekani kuweka makombora yake ya kujilinda na mashambulizi ya anga, tena kasisitiza atafanya chochote kuhakikisha mitambohiyo haiendelezwi. Halafu usiseme vita vya afghanstani ni vya kujichanganya na raia ndo maana mmarekani anasumbuka, kumbuka kwamba vita ni mbinu, sio kurushiana makonde kama boxing na mieleka. Ukizingatia Mmarekani hana historia ya kupigana vita na akashinda.
Mkuu Karne Fahamu ya udogo wa nchi si udhaifu wa kujeshi katika zama hizi. Zamani kweli ilikuwa jeshi lenye man power kubwa linashinda. Sasa vita inachezwa kotekote. Labda kama una udhibitisho wowote wa kuniambia kwa nini mmarekani na washirika wake wananguuvu kuizidki korea kaskazini.
Jile79 nchi peke HE in ujerumani. Mmarekani hamlii timing mkorea, bali anawaridhisha wapambe wake tu. Hivi unajua kama leo Mchina Kampiga biti mmarekani? Usiishie kuangalia vyombo vya habari vya magharibi tu na washirika wao akina ITV na Channel 10, utaambulia propanganda tu. Lakini kiukweli kuna mengi yanaendelea duniani
Duh kuna watu wana mahaba humu ndani ila wengine tukisema sema tunaonekanaga washabiki sana..... Et mtu anasema Japan na Ujerumani waungane wampige America[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... KWELI?!
Hao Japan wenyewe wanamtegemea USA kuwalinda huko Ujeruman Markel aliomba Marekani apeleke silaha za nyuklia mwaka juz Marekani akazipeleka ikiwemo yale mabomu B61 Russia alilalama lkn hakuna kitu amefanya kapiga kimya.
Et mara ooooh Kim ataichakaza Japan na South Korea, hv nyie mnaichukuliaje Japan?! Muulzen mchina anamtambua huyu jamaa. Mara oooh Seoul itkua majivu, hao Seoul watkua wamekaa tu Kim kardashian anawageuza majivu?!
Me nawaambia hv hii vita ikianza huyo Kim kardashian kwa 60% hawez kutumia hzo nyuklia maana akitumia dhid ya Seoul au Japan bhas hakutakua tena na nchi inayoitwa Nkorea jinsi ambavyo Marekani ataichakaza kwa mabomu ya nyuklia na hakutakua wa kumzuia US si Urusi au China.Maana kombora la minuteman toka Marekani mpk Pyongyang si chini ya dk.30 kashaizika ile nchi.
Japan gdp ni $4.38trillion na ni ya3 dunian,..n.korea ni $16.4billion na ni ya 116 dunia,..we unaongea nin bwana...jifunze kujifunzaHuo mstari umenifanya nisiendelee kusoma hii comment yako mkuu. Sio kila kitu unachosikia unakimeza kama kilivyo.