Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

Achaneni na U.S......hapo anamlia timing kiduku ......Kwa jinsi marekani alivojulikana km HE badala ya SHE...Atatema tu cheche punde..
HAWASHINDWAGI JAMAA
 
Nawashangaa sana watu wanao i underestimate japan,hivi mnajua wajapan walikua tishio dunian,walikua na technologia za ajab na walikua hawapigiki,wana uchumi mkubwa hata mara 1000 ya n,korea,wana silaha mara100 nadhan ya n.korea,..ila japan baada ya ww2 walikua na sunctions nying kias kwamba walishauriwa akili zao wawekeze kwenye technolojia za kijani/meaning technolojia sizizohusika ma nguv za kijesh,so ndo kuja kuwekeza kwenye magar,machines,electronics etc,na ukienda japan,kama umebahatika kwenda kama mim,uta testify hili,wana level ya maisha ya marekan kabsaa,so msione japan mnyonge,unaambiwa bila lile atomic ,japan angetawala dunia,dunia nzima tungekua tunaongea kijapan na sio kingereza
Unavyowashangaa wewe ndo nnavyowashangaa na me pia. Et utawasikia oooh Kim ataichakaza Japan. Japan kwanza kwenye mapigano wale hawaogopi kufa Marekani mwenyewe anawatambua. Japan alishamtembezea China kichapo kitakatifu kwenye Sino-Japanese war. Na mpk Leo China bado anamwogopa Japan, ukitaka kujua fatilia 2015 km sikosei baada ya Japan kubadili sera yao ya kutopigana hadi wavamiwe na kuifanya kwamba Wawe huru kupigana kwa ajili ya nchi washirika angalia China alivyolalama baada ya Japan kuibadili hyo sera...

Sema tu tushukuru Japan hajawekeza sana kwenye military tec ila kwa ajili ya mzozo huu na NK tutegemee kuongezeka kwa bajet ya jeshi maradufu...
 
Ah ah ah hiz habar had zmekua comedy,daily usa mara kafanya hiki mara kile,ila n.korea hna ht time..hakuna cha vita wala sunvita
 
Mkuu huu mwaka wa 16 bado wanapelekwa puta na Wateliban huko Afghanistani,leo hii ndiyo watake kuitambia Korea Kasikazini? Labda watumie mabom ya nuclear lakini na wao wakae wakijua watapata madhara makubwa sana sana ambayo hawajawahi kukumbana nayo katika historia yao ya kuvamia vamia mataifa mengine masikini, wakumbuke KK si kama Libya, Afghanistan, Iraq, Yugoslavia ya zamani na Syria - Wakifanya makosa ya kuivamia/piga mabom KK basi Korea Kusini na Japan watachakazwa kweli kweli.

Kitu kingine ambacho ni muhimu, Amerika inapaswa kukumbuka kwamba vita ikipamba moto Uchina na Urusi zitamsaidia Kim kwa hali na mali hawataruhusu Amerika/NATO kusogeza wanajeshi au kuikalia KK kwa nguvu - wataingia vitani liwalo liwe, sasa kama Amerika itahamua kufungua a pandora BOX sisi yetu macho - I hope Trump atakuwa wiser zaidi ata-stick kumaliza mgogoro huu kwa njia ya kidiplomasia.
Sasa mkuu vita vya afganistani utalinganisha na korea? Vita vya kupigana na adui aliyejichanganya na raia wa kawaida ni ngumu!! Kwani huwezi kumtofautisha kiurahisi lakini hii ya korea wanapigana majeshi kwa majeshi. Yaani nchi kwa nchi! Ukifuatilia sana utaona kuwa china ameshaanza kujitoa kwa korea na ndio maana hata sasa korea analalamika kuwa mikataba mingi ya kibiashara baina yao china ameanza kuivunja!! Yaani kama kweli USA ataamua kuingia vitani mapema tu korea atanyoosha mikono! Na haiwezekani miaka yote wewe ndio uwe tishio wa majirani zako wote hasa south korea na japan!!
 
Hakuna mwenye picha zake
2416f7c0636e7da5498f01e88c3ed988.jpg
4be267e2f1baa7ca29117b209441a5ec.jpg
a8e025d6ef1ecc2f4f46918f214afe05.jpg

Hyo[emoji115] ndo B2 stealth bomber


bc94caefb9bd2c752909c73b2a943e8d.jpg
28cb2589c3ef1720d34c7aa5e3c5d768.jpg
07a13d97644b4f60faad811ad39a7b40.jpg

B52 Stratoforstress
 
Mbwembwe nyiingi utadhani muziki wa singeli
 
Hivi kweli kuna watu wenye akili timamu wanategemea huyo dogo ataikalisha US na washirika wake hata akipewa backup na Russia?
 
Marekani Ndiye Muaasis Wa Nyuklia Duniani Na Ndiye Wakwanza Kuijaribu Kule Japani Na Madhara Yake Yamepelekea Hadi Wajapani Kuzaliwa Vilema Ndiyo Maana Anayapinga Mabomu Hayoi
Marekani walishusha Atomic Japan sio Nyuklia!
 
Hivi kweli kuna watu wenye akili timamu wanategemea huyo dogo ataikalisha US na washirika wake hata akipewa backup na Russia?
Wewe unaongea nini?
Hujui kuwa tayari USA kashachuchumalishwa chini na NK?
 
Mimi huwa nadhani mtu anayejua kabisa UHUNI wa US hawezi kuitetea hata kidogo.
Hadi leo hii IRAQ ni ya moto kutokana na UHUNI wa US.
Waliingia vitani kwa kisingizio kwamba SADDAM HUSSEIN anamiliki silaha za maangamizi, lakini mpaka leo hii hawajaziona hizo silaha.
US wanatakiwa kushikishwa adabu kwa kiwango ambacho hawatakuja kujaribu kuzionea nchi ndogondogo duniani.
 
Achaneni na U.S......hapo anamlia timing kiduku ......Kwa jinsi marekani alivojulikana km HE badala ya SHE...Atatema tu cheche punde..
HAWASHINDWAGI JAMAA
Hivi kweli kuna watu wenye akili timamu wanategemea huyo dogo ataikalisha US na washirika wake hata akipewa backup na Russia?
Sasa mkuu vita vya afganistani utalinganisha na korea? Vita vya kupigana na adui aliyejichanganya na raia wa kawaida ni ngumu!! Kwani huwezi kumtofautisha kiurahisi lakini hii ya korea wanapigana majeshi kwa majeshi. Yaani nchi kwa nchi! Ukifuatilia sana utaona kuwa china ameshaanza kujitoa kwa korea na ndio maana hata sasa korea analalamika kuwa mikataba mingi ya kibiashara baina yao china ameanza kuivunja!! Yaani kama kweli USA ataamua kuingia vitani mapema tu korea atanyoosha mikono! Na haiwezekani miaka yote wewe ndio uwe tishio wa majirani zako wote hasa south korea na japan!!
white wizard China haijajitoa kwenye mzozo. Leo tu imepiga biti kuhusu mmarekani kuweka makombora yake ya kujilinda na mashambulizi ya anga, tena kasisitiza atafanya chochote kuhakikisha mitambohiyo haiendelezwi. Halafu usiseme vita vya afghanstani ni vya kujichanganya na raia ndo maana mmarekani anasumbuka, kumbuka kwamba vita ni mbinu, sio kurushiana makonde kama boxing na mieleka. Ukizingatia Mmarekani hana historia ya kupigana vita na akashinda.
Mkuu Karne Fahamu ya udogo wa nchi si udhaifu wa kujeshi katika zama hizi. Zamani kweli ilikuwa jeshi lenye man power kubwa linashinda. Sasa vita inachezwa kotekote. Labda kama una udhibitisho wowote wa kuniambia kwa nini mmarekani na washirika wake wananguuvu kuizidki korea kaskazini.
Jile79 nchi peke HE in ujerumani. Mmarekani hamlii timing mkorea, bali anawaridhisha wapambe wake tu. Hivi unajua kama leo Mchina Kampiga biti mmarekani? Usiishie kuangalia vyombo vya habari vya magharibi tu na washirika wao akina ITV na Channel 10, utaambulia propanganda tu. Lakini kiukweli kuna mengi yanaendelea duniani
 
Marekani Ndiye Muaasis Wa Nyuklia Duniani Na Ndiye Wakwanza Kuijaribu Kule Japani Na Madhara Yake Yamepelekea Hadi Wajapani Kuzaliwa Vilema Ndiyo Maana Anayapinga Mabomu Hayoi
Mbona hayaharibu ya kwake??
 
Mimi huwa nadhani mtu anayejua kabisa UHUNI wa US hawezi kuitetea hata kidogo.
Hadi leo hii IRAQ ni ya moto kutokana na UHUNI wa US.
Waliingia vitani kwa kisingizio kwamba SADDAM HUSSEIN anamiliki silaha za maangamizi, lakini mpaka leo hii hawajaziona hizo silaha.
US wanatakiwa kushikishwa adabu kwa kiwango ambacho hawatakuja kujaribu kuzionea nchi ndogondogo duniani.
Big Up
 
Mi nilijua zimepita north korea heheheeee!! Marekani waache upuuzi kabisa!
 
Back
Top Bottom